Mateo Kovasic
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 420
- 334
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi...
Ila Lema ana point.
Ukichukulia juu juu hutoelewa “theme” yake.