Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wao ndiyo waratibu wanajihuzulu vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekutana msibaniAlitoka naye DSM au wamemkuta msibani?Anyway,mambo ni shaghalabaghala!
Tusi shutumu tuu.Ni lini utekaji na uuaji vilikoma kuwa sehemu ya maisha ya kijamii?. Kila kinachofanyika Tanzania ya sasa ni siasa tu, yaani siasa zenye kuambatana na maongezi meengi ambayo hayana tija yoyote.
Huyo Marehemu alikuwa binadamu aliyeishi katikati ya wanadamu, kwa hiyo kufanyiwa unyama aliofanyiwa mpaka akapoteza uhai wake pengine chanzo ni muingiliano wa kawaida wa maisha ya kibinadamu.
Watu walikuwa wanatekwa na kuuliwa tangu awamu ya kwanza ya Nyerere. Mauaji mengi tu yamekuwa yakifanyika katika awamu zote sita, haya ni masuala yenye kuhitaji busara katika kuweza kuyatatua.
Tatizo siasa za vyama vingi zinakuja na uhasama pamoja na kila aina ya uadui.
Na Mzee Ali Hassan MwinyiKiongozi pekee niliwahi sikia kajiuzulu ni Lowassa, madaraka matamu....
Alijiuzulu wazifa gani kipindi hicho?Na Mzee Ali Hassan Mwinyi
Godbless Lema ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini akieleza kushangazwa kwake mpaka sasa kwanini Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Masauni na IGP kutujiuzulu kufuatia tukio la kutekwa na kuuawa kwa Ally Mohammed Kibao.
Niliposikia Ali amekamatwa ameshushwa kwenye basi sikuhisi kwamba ni tukio ambalo lingeweza kumpotezea maisha, niliamini kwamba pengine amekamatwa na vyombo vya ulinzi na usalama pengine kwa kesi zingine za kisiasa na baada ya siku chache pengine tungemuona.
Lakini taarifa ya jana, Mh. Waziri(Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni) upo hapa baada ya kupata taarifa kwamba Ali ameokotwa Ununio, Maisha yangu yamekuwa magumu sana, Lakini Mh. Waziri nikuombe sana usiende tena kwenye msiba wa mtu mwingine ambaye ametekwa nenda kwenye msiba wa mtu ambaye ameteka”
"Nyie ambao mko serikalini mjue kuwa haya mambo (ya utekaji na mauaji ya raia) yakiendelea kuna
kisasi kinaweza kikazaliwa kwa sababu damu huwa inanena"
Kila kitu kitawekwa wazi ni suala la muda tu.Tusi shutumu tuu.
Huyu jamaa alikuwa nani katika maisha nje ya siasa.
Hakujihusisha na kufanya mambo ambayo haya endani na maadili ya ya kuishi.
Isije kuwa watu wamelipa kisasi na sasa watu wana singizia Serikali.
Jee alikuwa hana maadui huko uraiani?
Jee dereva na watu wote ndani ya basi wamesema nini kuhusu tokeo hili.
Hakuna hata mmoja aloona chochote?
Nani ka wahoji hawa?
Watu wachadema kwanini wasiwa hoji hawa?
waandishi kwanini wasi wahoji hawa?
Godbless Lema ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini akieleza kushangazwa kwake mpaka sasa kwanini Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Masauni na IGP kutujiuzulu kufuatia tukio la kutekwa na kuuawa kwa Ally Mohammed Kibao.
Niliposikia Ali amekamatwa ameshushwa kwenye basi sikuhisi kwamba ni tukio ambalo lingeweza kumpotezea maisha, niliamini kwamba pengine amekamatwa na vyombo vya ulinzi na usalama pengine kwa kesi zingine za kisiasa na baada ya siku chache pengine tungemuona.
Lakini taarifa ya jana, Mh. Waziri(Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni) upo hapa baada ya kupata taarifa kwamba Ali ameokotwa Ununio, Maisha yangu yamekuwa magumu sana, Lakini Mh. Waziri nikuombe sana usiende tena kwenye msiba wa mtu mwingine ambaye ametekwa nenda kwenye msiba wa mtu ambaye ameteka”
"Nyie ambao mko serikalini mjue kuwa haya mambo (ya utekaji na mauaji ya raia) yakiendelea kuna kisasi kinaweza kikazaliwa kwa sababu damu huwa inanena"
Pia soma
Hata mwinyi(R I P) aliwahi,ile ishu ya kule shinyanga,kujiuzulu inaketa tafsiri fulani ya uwajibaki.Hizi mbuzi zinatanguliza matumbo mbeleKiongozi pekee niliwahi sikia kajiuzulu ni Lowassa, madaraka matamu....
Yote hayo ni mipango ya CCM dhidi ya raia wa nchi hii, tuwakatae!Godbless Lema ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini akieleza kushangazwa kwake mpaka sasa kwanini Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Masauni na IGP kutujiuzulu kufuatia tukio la kutekwa na kuuawa kwa Ally Mohammed Kibao.
Niliposikia Ali amekamatwa ameshushwa kwenye basi sikuhisi kwamba ni tukio ambalo lingeweza kumpotezea maisha, niliamini kwamba pengine amekamatwa na vyombo vya ulinzi na usalama pengine kwa kesi zingine za kisiasa na baada ya siku chache pengine tungemuona.
Lakini taarifa ya jana, Mh. Waziri(Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni) upo hapa baada ya kupata taarifa kwamba Ali ameokotwa Ununio, Maisha yangu yamekuwa magumu sana, Lakini Mh. Waziri nikuombe sana usiende tena kwenye msiba wa mtu mwingine ambaye ametekwa nenda kwenye msiba wa mtu ambaye ameteka”
"Nyie ambao mko serikalini mjue kuwa haya mambo (ya utekaji na mauaji ya raia) yakiendelea kuna kisasi kinaweza kikazaliwa kwa sababu damu huwa inanena"
Pia soma
Utamu wa V8 au sio sikio la kufaUtamu wa V8 Lema anaujuwa?
KumbeeUtawala wa mwinyi nlikua bado nanyweshwa uji kwa kijiko.....