Lema: Nilitegemea mpaka sasa baada ya statement ya Rais Samia kuhusu mauaji ya Ally Kibao basi Waziri Masauni, IGP wawe wamejiuzulu

Tusi shutumu tuu.
Huyu jamaa alikuwa nani katika maisha nje ya siasa.
Hakujihusisha na kufanya mambo ambayo haya endani na maadili ya ya kuishi.

Isije kuwa watu wamelipa kisasi na sasa watu wana singizia Serikali.
Jee alikuwa hana maadui huko uraiani?

Jee dereva na watu wote ndani ya basi wamesema nini kuhusu tokeo hili.
Hakuna hata mmoja aloona chochote?
Nani ka wahoji hawa?

Watu wachadema kwanini wasiwa hoji hawa?
waandishi kwanini wasi wahoji hawa?
 
kisasi kinaweza kikazaliwa kwa sababu damu huwa inanena"
 

Attachments

  • Mungu_akubariki_Sana_Mh._@godbless_lema_umenyooshs_Bila_Kupindisha_Kabisaa..._https___t.co_Yny...mp4
    15.4 MB
Kila kitu kitawekwa wazi ni suala la muda tu.
 

View: https://x.com/iboysean/status/1833109828744458489?s=46
 
Yaani kabisa Wenyewe hapo mlipo mnajiona hamna Makosa na pia hampaswi Kulaumiwa? Hivi hamuoni hata Aibu?
 
Yote hayo ni mipango ya CCM dhidi ya raia wa nchi hii, tuwakatae!
 
Ukwelk ni kwamba, Hatuna viongozi wawajibikaji, hata wakijiuzuru sasa itakua ni pressure kutoka kwa wananchi sio kwa kujiwajibisha wao wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…