Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Wapi hukoMjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema amegusia suala la Gwajima na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan.
Hiyo takataka haijitambui.Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema amegusia suala la Gwajima na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan.
Soma Pia: Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu
Takataka ni wale wawili walikaliana uchi wakakuleta duniani.Hiyo takataka haijitambui.
Anajichelewesha sana kwenye mambo ya siasa na uongozi karaka yake ipo kwenye taarabu na mipashoMkuu wa kaya sijui kwann hajakitambua kipaji chake cha kuimba taarabu akahangaika na siasa ambayo kwasasa inamvua nguo
ULINZI umeongezeka mara 2 zaidi kwa sasa na kuendeleaHiyo takataka haijitambui.
Unajua Nawaza Hivi ni MAGU alikua katili au MAKATILI walikua nyuma yake? 🤔Siamini km samia ghafla amekuwa katili hivi au alikuwa amefcha makucha?
Pengine kosa la mama Rais wetu ni kumrudisha nchini, Rais wangu kufanya kosa si kosa kosa ni kurudia kosa, Rais alikuwa na nia nzuri ila ukweli kunguru wa Pemba hawafugiki. Lema na Lissu wameacha familia zao nje ya nchi yetu, maana yake hawakumwamini Rais wetu, kwanini Rais aliwaamini? Rais wetu ameuzwa na washauri wake. Rais mwenye washauri lukuki anazidiwa na watu km hao? Sasa mama yetu mpendwa wanakuzunguka kukuchora? Tupo sisi wazalendo wa kweli tupe kazi.Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema amegusia suala la Gwajima na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan.
Soma Pia: Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu
Wewe lofa umeishia darasa la ngapi? Umeelewa kilichosemwa na lema?Kuna watu wanavuta bangi yani Lema hawezi hata msumbuwa msanii wa kawaida hapa nchini ndio ambabaishe ety Amuonye Samia Mr's President kwa kauli yake ?
😳 😳😛 Gwajima ni tapeli aliyedandia verse ya utekaji, kwa sababu ina trend, ameamua kui commercializeMjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema amegusia suala la Gwajima na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan.
Soma Pia: Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu
Hayo mambo awaachie CCM na mwenyekiti wao…. Wapambane kuhusu lissu na NRNE Yao….. Gwajima ni fisi Kama fisi wengine!Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema amegusia suala la Gwajima na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan.
Soma Pia: Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu
Hichi kichwa achana nacho mzee huyo lema alikuja Arusha nikaenda mskiliza, mbele yangu anasema bodaboda nikazi ya laana huyo atanielewesha nini mimiWewe lofa umeishia darasa la ngapi? Umeelewa kilichosemwa na lema?