Hana tofauti na Hadija Kopa, wote wazanzibar na wanaimba taarabuMkuu wa kaya sijui kwann hajakitambua kipaji chake cha kuimba taarabu akahangaika na siasa ambayo kwasasa inamvua nguo
Hana tofauti na Hadija Kopa, wote wazanzibar na wanaimba taarabuMkuu wa kaya sijui kwann hajakitambua kipaji chake cha kuimba taarabu akahangaika na siasa ambayo kwasasa inamvua nguo
Siamini km samia ghafla amekuwa katili hivi au alikuwa amefcha makucha?
Kulaani.Wewe unafanya kazi gani mkuu inakupa jeuri ya kuihusisha bodaboda sawa na kazi ya wizi, umalaya na uchangudoa?
Magu alipendwa na watu,huyu pamoja na kutengeneza promo za mabango nchi nzima bado anapokea kichambo hadi kwa wakenya..Pengine kosa la mama Rais wetu ni kumrudisha nchini, Rais wangu kufanya kosa si kosa kosa ni kurudia kosa, Rais alikuwa na nia nzuri ila ukweli kunguru wa Pemba hawafugiki. Lema na Lissu wameacha familia zao nje ya nchi yetu, maana yake hawakumwamini Rais wetu, kwanini Rais aliwaamini? Rais wetu ameuzwa na washauri wake. Rais mwenye washauri lukuki anazidiwa na watu km hao? Sasa mama yetu mpendwa wanakuzunguka kukuchora? Tupo sisi wazalendo wa kweli tupe kazi.
Haiwezi kunikuta sababu mimi sio mwanaharakatiKwamba kwakuwa shughuli nyingine zinaendelea basi hao wanaotekwa na kuuawa hawana maana na hawatuhusu!? Mpaka siku ikukute ndo utajua thamani ya uhai wa mtu.
Sasa wewe boda boda unaona ni kazi? Kweli si Bora ukalimeHichi kichwa achana nacho mzee huyo lema alikuja Arusha nikaenda mskiliza, mbele yangu anasema bodaboda nikazi ya laana huyo atanielewesha nini mimi
Hii bahati mbaya kweli ....magufuli hakuwa chariot lake huyu mipasho mopasho umbea mwuwaji mwenye pupa na mali za watanganyikaMjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema amegusia suala la Gwajima na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan.
Soma Pia: Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu
Oya hii haina comeback asee😀Takataka ni wale wawili walikaliana uchi wakakuleta duniani.
Ktk jina la Yesu,na uwe hivyo!Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema amegusia suala la Gwajima na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan.
Soma Pia: Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu
Sijakuelewa, unamaana Lema kakosea au Lema alipatia kusema kazi ya boda boda ni ya laana?Hichi kichwa achana nacho mzee huyo lema alikuja Arusha nikaenda mskiliza, mbele yangu anasema bodaboda nikazi ya laana huyo atanielewesha nini mimi
Hili bao bb ako angejua angemwaga njeHiyo takataka haijitambui.