PreGE2025 Lema: Rais Samia kwa kauli ya gwajimanize utajutia wewe na watoto wako na maisha yako yote

PreGE2025 Lema: Rais Samia kwa kauli ya gwajimanize utajutia wewe na watoto wako na maisha yako yote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakati unamuomba mungu mafanikio/mamlaka muombe HEKIMA pia. Pale "juu" tumekosa hekima.
 
Pengine kosa la mama Rais wetu ni kumrudisha nchini, Rais wangu kufanya kosa si kosa kosa ni kurudia kosa, Rais alikuwa na nia nzuri ila ukweli kunguru wa Pemba hawafugiki. Lema na Lissu wameacha familia zao nje ya nchi yetu, maana yake hawakumwamini Rais wetu, kwanini Rais aliwaamini? Rais wetu ameuzwa na washauri wake. Rais mwenye washauri lukuki anazidiwa na watu km hao? Sasa mama yetu mpendwa wanakuzunguka kukuchora? Tupo sisi wazalendo wa kweli tupe kazi.
Mpewe kazi mara ngapi, si mmeshapewa na mnaendelea nayo!?
 
😳 šŸ˜³šŸ˜› Gwajima ni tapeli aliyedandia verse ya utekaji, kwa sababu ina trend, ameamua kui commercialize
Sawa Gwajima ni tapeli, vipi utekaji upo au haupo?
 
Hichi kichwa achana nacho mzee huyo lema alikuja Arusha nikaenda mskiliza, mbele yangu anasema bodaboda nikazi ya laana huyo atanielewesha nini mimi
Kwahiyo bodaboda ni kazi ya neema na baraka!? Uko tayari kizazi chako kiwe cha bodaboda huku wachache wakitafuna keki ya nchi?
 
Hivi hoja ni hii hii ya kutekana ?. Hivi Tanzania kweli kuna raia anashindwa kufanya shughuri zake muda wowote ule, kwenda mahali popote pale akihofia kutekwa ? Mbona km siwaelew elew ao mmevuta bangi
Kwamba kwakuwa shughuli nyingine zinaendelea basi hao wanaotekwa na kuuawa hawana maana na hawatuhusu!? Mpaka siku ikukute ndo utajua thamani ya uhai wa mtu.
 
Wakati wa Mungu ukifika hao si chochote . Damu za Watanganyika wasikuwa na hatia zinalilia kisasi kutoka kaburini.
Samia amekosea Sana kujibu hoja za GWAJIMA kwa shombo ya maneno ya taarabu za kizanzibar..
Nasema Mwenyekiti wa CCM amemchokoza Gwajima.

Hapa Kuna VITA inaenda kupiganwa ila natamani sana Mwl wangu huyu GWAJIMA aipigane kwa Akili kubwa sanaaaaa na kwa Tahadhari kubwa vinginevyo asiijibu kauli ya Mwenyekiti kabisaaa awe mnyenyekevu na mkimya kabisaa ajifanye kana kwamba hajasikia kauli ya MAGWAJIMA TUYAACHE NJE
 
We funguka!!wakuamate na fake I'd like iweje!!?
Technology imekua Sanaa 😊 šŸ˜… ukiitajika unapatikana Mbona. Sizani/ sijui kama wengi wetu tumejisajili humu kwa secured šŸ” email hili ni SoMo right eg. Kama zile social media accounts za serikalini zili be hucked na wakenya unadhani Kuna kinacho shindikana uki itajika.

Worry out brother ntapata wasaa ntaweka either kwa thread ama comment ya kawaida liwalo na liwe ntaku TAG.
 
Mi nilivyoona Jamaa Tumia akili kapost alhamis ya week iliyopita saw kumi na dk 36 ,ULE Uzi wa "Brother" nikajua tu wamekamilisha!!

ACHA uwe mwendo wa code tu bila kutaja majina ya watu!!

Halafu Kuna huyu mkwe wake aliesema ametoa uhai wake kulinda amani aiseh Ile kauli ni mbaya kuliko yaani itawaamsha wale jamaa wale kichwa !kipindi hiki tunahitajika tuwe humble sana kuliko kawaida!!
 
Pengine kosa la mama Rais wetu ni kumrudisha nchini, Rais wangu kufanya kosa si kosa kosa ni kurudia kosa, Rais alikuwa na nia nzuri ila ukweli kunguru wa Pemba hawafugiki. Lema na Lissu wameacha familia zao nje ya nchi yetu, maana yake hawakumwamini Rais wetu, kwanini Rais aliwaamini? Rais wetu ameuzwa na washauri wake. Rais mwenye washauri lukuki anazidiwa na watu km hao? Sasa mama yetu mpendwa wanakuzunguka kukuchora? Tupo sisi wazalendo wa kweli tupe kazi.
Kazi ya kuuwa?
 
Back
Top Bottom