PreGE2025 Lema: Rais Samia kwa kauli ya gwajimanize utajutia wewe na watoto wako na maisha yako yote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
  • Thanks
Reactions: Tui
Pengine kosa la mama Rais wetu ni kumrudisha nchini, Rais wangu kufanya kosa si kosa kosa ni kurudia kosa, Rais alikuwa na nia nzuri ila ukweli kunguru wa Pemba hawafugiki. Lema na Lissu wameacha familia zao nje ya nchi yetu, maana yake hawakumwamini Rais wetu, kwanini Rais aliwaamini? Rais wetu ameuzwa na washauri wake. Rais mwenye washauri lukuki anazidiwa na watu km hao? Sasa mama yetu mpendwa wanakuzunguka kukuchora? Tupo sisi wazalendo wa kweli tupe kazi.
Kwa maana nyingine unamshauri Rais watu waendelee kuuwawa?Ukiona mwenziyo ananyolewa wewe tia maji,Siyo muda mrefu mtaanza kulana wenyewe.
 
We peleka ujinga kwa mamaako!! Watu wanaongelea mambo kutekana we unaleta kijambio chako hapa!! shenzi kabisa!!
Kutekana vipi mzee wewe uko wapi muda huu nije tuone nani ataniteka ? Hizo siasa za kitoto sana yani watu 80 ndio wanipotezee imani tena wenyew uhakika hatuna coz hata wapinzani wanaijua vzr hii nchi na udhaifu wake pia
 
Pengine kosa la mama Rais wetu ni kumrudisha nchini, Rais wangu kufanya kosa si kosa kosa ni kurudia kosa, Rais alikuwa na nia nzuri ila ukweli kunguru wa Pemba hawafugiki. Lema na Lissu wameacha familia zao nje ya nchi yetu, maana yake hawakumwamini Rais wetu, kwanini Rais aliwaamini? Rais wetu ameuzwa na washauri wake. Rais mwenye washauri lukuki anazidiwa na watu km hao? Sasa mama yetu mpendwa wanakuzunguka kukuchora? Tupo sisi wazalendo wa kweli tupe kazi.
CHIZI.
Kazi gani utaiweza
Nenda tu kwamwambie mhusika kwamba wewe upo tayari kunywa damu za watu.wewe.
Hata hiyo ya kuua unatafuta kwa kubembeleza?
Hata tofauti iliyopo kati ya "uzalendo" na "uchawa", huijui?
 
Hivi hoja ni hii hii ya kutekana ?. Hivi Tanzania kweli kuna raia anashindwa kufanya shughuri zake muda wowote ule, kwenda mahali popote pale akihofia kutekwa ? Mbona km siwaelew elew ao mmevuta bangi
 
Back
Top Bottom