Hili jamaa ni lipumbavu! Yaani tulazimishwe kwenda kuunga mkono mambo ya kipumbavu? Ni kipi chenye tija ambacho wapinzani wanakipambania? Si wanapambania matumbo yao tu?Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema ameendelea kusema kiwa wakazi wa Dar es Salaam wamekuwa nyuma katika harakati za kudai mabadiliko na badala yake wanayapa kipaumbele mambo yasiyokuwa na maana ikiwemo ushabiki wa mpira wa miguu hususan kwa timu za Simba na Yanga.
View attachment 3307480
Hivi wewe unaona Tanzania kuna wapinzani serious? Yote hayo yanasumbuliwa njaa tu! Yakipiga kelele yanalambishwa asali yananyamaza! Pumbavu kabisa!Kila sehemu hapa inchin watu wanajadili Simba na yangq kama mazuzu huku wanasiasa wakifilisi inchi refer CAG report
Kwa kuwa wewe ni kilaza wa div 9 ndio maana umeshindwa hata kuelewa concern yake.Huyu siasa zimemshinda
Siku akiwq raisi hajui kuwa atatakiwa kuimarisha sekta ya michezo yeye anawaza kuhomoa
Kama ccm wamemzidi akili na power akazitafute sio kuwa mjinga kiasi hiki
Hamna kuchemka hapo mkuu..Yanga na Simba ni "bread and circuses".. inatumika kama govern.machinery ya propaganda..kuwapumbaza watanzania..ndio soka linatoa ajira na entertainment..lkn mind you...ss (watanzania) tunapoteza mambo mengi makubwa ya kimaendeleo kama taifa kwa kuendelea kushabikia kupitiliza Yanga na Simba....zile ni dopamine mbaya sana ambazo zinatafuna bongo zetu,.wakati wahuni wanatafuna kodi zetu bila huruma.Hii amechemka.
Soka lilikuwa halipendwi hivi Kuna kitu wadau wa soka wamefanya na kuvuta shabiki wengi.
Wanasiasa pia wanatakiwa watulize vichwabwafanye kitu kuwavuta watu wengi, kuamsha awareness yao kwenye mambo ya kisiasa.
Haisaidii kuwachukua wapenda soka.
I respect your opinion but I'm entitled to my opinion too.Hamna kuchemka hapo mkuu..Yanga na Simba ni "bread and circuses".. inatumika kama govern.machinery ya propaganda..kuwapumbaza watanzania..ndio soka linatoa ajira na entertainment..lkn mind you...ss (watanzania) tunapoteza mambo mengi makubwa ya kimaendeleo kama taifa kwa kuendelea kushabikia kupitiliza Yanga na Simba....zile ni dopamine mbaya sana ambazo zinatafuna bongo zetu,.wakati wahuni wanatafuna kodi zetu bila huruma.
Tundu Lisu na Mbowe ni mashabiki wa yanga (utopolo) au Lema anajifanya hajui?Hayo matimu yamekaa ki-ccm sana.
I respect your opinion but I'm entitled to my opinion too.Hamna kuchemka hapo mkuu..Yanga na Simba ni "bread and circuses".. inatumika kama govern.machinery ya propaganda..kuwapumbaza watanzania..ndio soka linatoa ajira na entertainment..lkn mind you...ss (watanzania) tunapoteza mambo mengi makubwa ya kimaendeleo kama taifa kwa kuendelea kushabikia kupitiliza Yanga na Simba....zile ni dopamine mbaya sana ambazo zinatafuna bongo zetu,.wakati wahuni wanatafuna kodi zetu bila huruma.
Mkuu tumeshatawaliwa,kama mchina anakuja na mtaji mtz anafungua duka kwa jina lake na halipi Kodi kwasababu anakwepa kupitia mtanzania......Hii nchi hatuna watu, tuna mazombi yanayotembea.
Hata wakoloni wakija upya watatutawala kirahisi sana.
Unafikiri ilikuwa ni sahihi ama si sahihi..?Magufuli alibadilisha siasa za Tanzania. Tutake tusitake.
Alifanikiwa kubadilisha mitazamo ya watu wengi saana. Na kufubaa kwa upinzani ni matokeo ya Kukubalika kwa Magufuli.
Huu ni mtizamo wangu.....
SahihiUnafikiri ilikuwa ni sahihi ama si sahihi..?
Mbona malalamiko yalikuwa ni mengi ya kwamba aliua upinzani kupitia nguvu na wala si demokrasia!, vilevile amekuwa akishutumiwa juu ya matukio ya upotevu wa wanasiasa wa mlengo pinzani!, wewe wafikiria nini..?Sahihi