tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
Wakuu,
Akizungumza na wanahabari Godbless Lema amesema kwamba juzi juzi tu Sugu alimpigia na kumuomba apumzike uongozi wa CHADEMA
"Heshima ya chama sio majengo... heshima ya chama ni viongozi walioko ndani ya kile chama. Mimi nikifa morali nikawa low, mtafanya kazi kubwa zaidi. Heche akifa morali, Sugu akafa morali. Sugu juzi alinipigia simu kwa utani tu
Akaniambia: 'Mheshimiwa, uchaguzi wa chama ni lini?' Nikamwambia 2028. Akaniambia: 'Naomba Mungu ufike haraka nipumzike. This is too much... I think I cannot handle it anymore'...
Ukiacha hiyo, unaona wanawake wanaofanya kazi kwenye chama hiki wengine wameingia kwenye talaka kwa sababu ya commitment ya nchi, halafu mtu anasema Lema amekusanya wanawake!"