kwani ukisikia kufa unadhani kwenda kaburini? ni kuwa inajitutumua ionekane ipo, hao waliokufa wasingechoma vitu vya watu yasingewafika, kitendo cha chadema kujiassociate na mange ndio kimeiharibia kwasababu kuna sehemu wanapishana, mange hana mipaka anaongea mpaka anatukana lkn chadema wanakosoa hawatukani mf kwenye maandamano ya mwaka jana mange kahamasisha chadema walimute ili wasionekane wao kwahiyo utakuta move inakwama kwasabab wanaharakati hawana watu chadema ndio ina watu kwahiyo chadema kuna sehemu wamekwama, ishakufa itabaki kama cuf na tlp vipo kama urembo