Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Uchaguzi huru na haki juzi mmegoma, mngefurahia show. Na ukweli juzi umejiweka wazi, cdm wamegoma kushiriki uchaguzi wa kihuni, na vituo vya kura vikabaki tupu. Ukweli unaoumiza.Chadema haijafika mwisho, lakini imepoteza mvuto kwa watu, chadema ya akina slaa, zitto,halima mdee ilikuwa ya moto balaa, siyo hii inayoongozwa na Mange na Hilda Newton