Lema: Sugu ameniambia anatamani kupumzika. Alisema, "This is too much"

Wakina Luca huko wanacheka hawana mbavu.
Tena sio kidogo yaani kete mbili zenyewe moja ndo hiyo hatujui hatma yake .
Iko wapi ile Chadema ya moto lema lisu heche mbowe sugu slaa iko wapi?

Hao kina sugu boni yai wamebaki kuangalia miradi yao hawajali.
 
Ushaambiwa Sugu kasema kachoka, kaona bora apambanie Desdery isije ikajifia., Boni yai anasukuma tray zake za mayai tu huko.
 
chadema ishafika mwisho, gudubai
Hii kauli ni zaidi ya miaka 15 sasa nasikia cdm imefikia mwisho lakini wapi. Nakumbuka enzi za siasa za kuunga mkono juhudi za Magufuli ndio ilisemekana cdm imefikia mwisho, lakini hadi sasa ccm inabidi ifanye mauaji ya kimbari ili kusalia madarakani. Ni hivi, cdm ni zaidi ya chama cha siasa. Ni movement na hii haiishi hata Lisu ahamie ccm.
 
Draft limekubali zimebaki kete mbili tu.
Siasa michezo michafu.
Bahari inajitenge na uchafu. Wanasiasa biashara waliokuwa cdm sasa wanazidi kujiondoa ama kuona mazingira ya siasa za asali hayapo tena. Covid 19, waliohamia Chauma, na wale walioenda kuunga juhudi. Na cdm Bado imebaki palepale. Iko hivi, hakuna kitu kugumu kama kwenda nje ya nyakati. Hao wahuni walifanya sana siasa maslahi, ila sasa imekuwa ngumu kwao kwani hizi ni nyakati za mabadiliko.
 
1793554077343.png
 
Inahitajika nguvu kubwa kuwajenga vijana imara hata kama itachukua muda,
Hebu angalia wale vijana kina Sugu boni,Lema,Nasari wa kipindi kile wako wapi?
Chama kimebaki na uzito wa Lissu na Heche.
 
Mmekubali kuvurugwa na wajinga nanyi mmeingia 18
Uongozi wao wa juu unawahusudu wanaharakati ambao kwa kiasi kikubwa wanaendeshwa na mihemko.

Hao wanaharakati wanaowaamini leo, 2030 kama watakuwa hai, watakuwa wakimpigia kampeni mgombea wa CCM.

Wanachadema wanakubali kuendeshwa na watu ambao hata hawana kadi za chama chao.
 
Inahitajika nguvu kubwa kuwajenga vijana imara hata kama itachukua muda,
Hebu angalia wale vijana kina Sugu boni,Lema,Nasari wa kipindi kile wako wapi?
Chama kimebaki na uzito wa Lissu na Heche.
Kwahiyo watu wakikengeuka wafumbiwe macho eti kisa ilitumika nguvu kubwa kuwajenga? Kwa taarifa yako cdm ilipo hata bila Heche na Lisu Bado itaendelea kuwepo ili mradi ibaki na msimamo wa kupigania mabadiliko ya wananchi. Ni wangapi wameondoka hadi sasa akina Slaa, Msigwa nk na wa Bado wakarudi kwa aibu? Sababu hasa ni bado chama kimeshikilia ajenda ya mabadiliko na sio sura za watu.
 
watabakije sasa na msimamo hawa akina Hilda waliojificha Nakuru? na Hapo sio mbali ajifiche vizuri attempt za juzi ashukuru mola
 
Kwahiyo watu wakikengeuka wafumbiwe macho eti kisa ilitumika nguvu kubwa kuwajenga? Kwa taarifa yako cdm ilipo hata bila Heche na Lisu Bado itaendelea kuwepo ili mradi ibaki na msimamo wa kupigania mabadiliko ya wananchi. Ni wangapi wameondoka hadi sasa akina Slaa, Msigwa nk na wa Bado wakarudi kwa aibu? Sababu hasa ni bado chama kimeshikilia ajenda ya mabadiliko na sio sura za watu.
Haya sawa Cdm ya sasa iko imara.
 
Kama mpaka sugu amechoka basi hiki chama kimejaa washamba wa vijijini
wanaenda kukimaliza kabisa
 
Hii kauli ni zaidi ya miaka 15 sasa nasikia cdm imefikia mwisho lakini wapi. Nakumbuka enzi za siasa za kuunga mkono juhudi za Magufuli ndio ilisemekana cdm imefikia mwisho, lakini hadi sasa ccm inabidi ifanye mauaji ya kimbari ili kusalia madarakani. Ni hivi, cdm ni zaidi ya chama cha siasa. Ni movement na hii haiishi hata Lisu ahamie ccm.
kwani ukisikia kufa unadhani kwenda kaburini? ni kuwa inajitutumua ionekane ipo, hao waliokufa wasingechoma vitu vya watu yasingewafika, kitendo cha chadema kujiassociate na mange ndio kimeiharibia kwasababu kuna sehemu wanapishana, mange hana mipaka anaongea mpaka anatukana lkn chadema wanakosoa hawatukani mf kwenye maandamano ya mwaka jana mange kahamasisha chadema walimute ili wasionekane wao kwahiyo utakuta move inakwama kwasabab wanaharakati hawana watu chadema ndio ina watu kwahiyo chadema kuna sehemu wamekwama, ishakufa itabaki kama cuf na tlp vipo kama urembo
 
chadema wanatawanyika kama nzi kwenye kinyesi safari hii watanzania sio wajinga makamanda wa anga
 
Back
Top Bottom