tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
chadema ishafika mwisho, gudubaiWakuu,
Akizungumza na wanahabari Godbless Lema amesema kwamba juzi juzi tu Sugu alimpigia na kumuomba apumzike uongozi wa CHADEMA
"Heshima ya chama sio majengo... heshima ya chama ni viongozi walioko ndani ya kile chama. Mimi nikifa morali nikawa low, mtafanya kazi kubwa zaidi. Heche akifa morali, Sugu akafa morali. Sugu juzi alinipigia simu kwa utani tu
Akaniambia: 'Mheshimiwa, uchaguzi wa chama ni lini?' Nikamwambia 2028. Akaniambia: 'Naomba Mungu ufike haraka nipumzike. This is too much... I think I cannot handle it anymore'...
Ukiacha hiyo, unaona wanawake wanaofanya kazi kwenye chama hiki wengine wameingia kwenye talaka kwa sababu ya commitment ya nchi, halafu mtu anasema Lema amekusanya wanawake!"
Sasa kama mnafanya umalaya lazima ndoa zivunjike.Wakuu,

Wewe wasema.chadema ishafika mwisho, gudubai
Acha kudanganya watu. Lema ni dalali kwani uongo. Wana CCM wenyewe hawana access ya kukutana na Makamu wa Rais , inakuwaje Mpinzani anapata hiyo access? Tena katika kipindi kigumu kama hichi?.Draft limekubali zimebaki kete mbili tu.
Siasa michezo michafu.
Haya yote kayataka Mange.Mmekubali kuvurugwa na wajinga nanyi mmeingia 18
Sasa uongo wangu uko wapi ndo maana nikasema bado kete mbili tu ndo zenye uhai heche na lisu uongo uko wapi hapo?Acha kudanganya watu. Lema ni dalali kwani uongo. Wana CCM wenyewe hawana access ya kukutana na Makamu wa Rais , inakuwaje Mpinzani anapata hiyo access? Tena katika kipindi kigumu kama hichi?.
Mie hata simlaumu huyo mange wenu maana agenda yake anaijua mwenyewe. Namlaumu huyu anayejiona ana akili kuanza kuhangaika na mangeHaya yote kayataka Mange.
Ingia wewe Mwamba usivurugwe na wajinga. Nakuaminia Mwamba!Mmekubali kuvurugwa na wajinga nanyi mmeingia 18
Wakina Luca huko wanacheka hawana mbavu.Draft limekubali zimebaki kete mbili tu.
Siasa michezo michafu.