Lema: Sugu ameniambia anatamani kupumzika. Alisema, "This is too much"

Huo uongozi wa juu umewahusudu vipi wanaharakati?
 
Hii ya cdm kufa ni matamanio ya kila mwanaccm, lakini ukweli unakataa. Siku za nyuma ccm ilifanikiwa kuua ama kufubaza vyama vya upinzani. Lakini kwa sababu ya nyakati, hilo limeshindikana kwa cdm sasa. Matokeo yake uporaji wa uchaguzi wa kimachamacho hadi mauaji ya kimbari, ndio imebaki njia pekee ya ccm kusalia madarakani.
 
Acha kudanganya watu. Lema ni dalali kwani uongo. Wana CCM wenyewe hawana access ya kukutana na Makamu wa Rais , inakuwaje Mpinzani anapata hiyo access? Tena katika kipindi kigumu kama hichi?.
HAya mawazo ya kijinga.
 
Huyo sugu na Lema wote wamelamba asali.

Sugu alishaonyesha dalili mapema kabla hata ya Lema
Haya ni mawazo ya kipumbavu.
Hivi watu ambao ujasiri wenu ni kwenye keyboard huwa mnapata wapi guts za kukosoa watu ambao wamewahi kuonja joto la ukatili wa ccm live live ?
 
Lakini Lema ndo aliendesha kampeni ya kumuita Zitto msaliti, kumbe mwenzake alishang'amua mapema kuwa Siasa ni kujenga ushawishi wa dhahiri na siri hata kwa watu wenye mrengo tofauti wa kisiasa. Wakati Zitto ana access ya kuongea na Jakaya, akina Lema walikuwa wanamuita Snitch. Sasa leo Lema anatwambia kuwa alikuwa anayajenga na Nchimbi.
 
Haya ni mawazo ya kipumbavu.
Hivi watu ambao ujasiri wenu ni kwenye keyboard huwa mnapata wapi guts za kukosoa watu ambao wamewahi kuonja joto la ukatili wa ccm live live ?
Lema tulia hukulazimishwa uwe mwanasiasa
 
Chadema haijafika mwisho, lakini imepoteza mvuto kwa watu, chadema ya akina slaa, zitto,halima mdee ilikuwa ya moto balaa, siyo hii inayoongozwa na Mange na Hilda Newton
 
Hakuna chama cha siasa kilichokufa, hata nccr mageuzi ya mrema bado ipo. CHADEMA haijafa, bali imekuwa ya hovyo
 
Na Bony Yai alimuambiaje walipoongea?

BTW: Wote waliokuwa wapambe wa Mwamba uchaguzi aliobwagwa,watapumzika wenyewe au kuekekea aliko.
 
mtt mdg ww kakojoe ulale uwahi shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…