Lema: Sugu ameniambia anatamani kupumzika. Alisema, "This is too much"

Chadema haijafika mwisho, lakini imepoteza mvuto kwa watu, chadema ya akina slaa, zitto,halima mdee ilikuwa ya moto balaa, siyo hii inayoongozwa na Mange na Hilda Newton
Uchaguzi huru na haki juzi mmegoma, mngefurahia show. Na ukweli juzi umejiweka wazi, cdm wamegoma kushiriki uchaguzi wa kihuni, na vituo vya kura vikabaki tupu. Ukweli unaoumiza.
 
Ngoja tuwait Lissu atoke walau nguvu iongezeke.
Hata akifa leo acha kutoka, Bado cdm itazidi kuwa na nguvu. Cdm ni zaidi ya chama cha siasa kwa sasa. Ni movement ya kizazi hiki unayotaka mabadiliko, na mabadiliko yatakapatikana hata kwa kumwaga damu. Tunza Uzi huu.
 
Uchaguzi huru na haki juzi mmegoma, mngefurahia show. Na ukweli juzi umejiweka wazi, cdm wamegoma kushiriki uchaguzi wa kihuni, na vituo vya kura vikabaki tupu. Ukweli unaoumiza.
Hata uchaguzi uwe huru usimamiwe na malaika chadema haiwezi kushinda, chama ambacho hata uwezo wa kusimamisha wagombea nchi nzima hawana, kitashindaje uchaguzi? Kama Lowasa alishindwa, hakuna atakaeweza tena.
 
Chadema haijafika mwisho, lakini imepoteza mvuto kwa watu, chadema ya akina slaa, zitto,halima mdee ilikuwa ya moto balaa, siyo hii inayoongozwa na Mange na Hilda Newton
Sasa kama CDM imepoteza mvuto, kwanini CCM hamtaki Tume Huru Ya Uchaguzi!?😂😂😂

Kuna haja gani ya kushinda uchaguzi kwa kuiba kura na kumwaga damu wakati CHADEMA imejifia?
 
Sasa kama CDM imepoteza mvuto, kwanini CCM hamtaki Tume Huru Ya Uchaguzi!?😂😂😂

Kuna haja gani ya kushinda uchaguzi kwa kuiba kura na kumwaga damu wakati CHADEMA imejifia?
Kama tume sio huru, na wale wabunge wa chadema na vyama vingine walitoka wapi?Tume iko huru kabisa, kura zikihesabiwa,mawakala wa vyama vyote wanakuwepo
 
Mmekubali kuvurugwa na wajinga nanyi mmeingia 18
Ukimsikiliza Lema, utajuwa wazi tatizo lake liko wapi na chama chake.

Kwa mfano, kipande tu hiki hapa cha hotuba kinaonyesha wazi nini kinamsumbua.

Hawa "viongozi wa chama" ni akiina nani ambao "wanaongozwa na wanaharakati, badala ya viongozi kuwaongoza wanaharakati"?

Hivi amesahau kwamba Tundu Lissu ambaye ndiye mwenyekiti wa chama yupo mahabusu?

Kwa nini asisubiri hiyo 2028 hao viongozi asioridhika nao waondolewe kwa kura kama yeye anaona anao ushawishi zaidi ya wao.
 
Sasa naamini watu wawili tu ndo Wana Mapumbu Chadema, Lisu na Heche, Lema na Mbowe wamenifanya niamini maneno kuhusu wachaga na Pesa!

Leme kazika political carrier yake, ila ana ties Canada, watoto wanasoma vizuri sana, na ana Nyumba Njiro sehemu nzuri sana
 
Wanawake wa chadema ni malaya, hawana adabu hawafai kuitwa wake ndiyo maana wamepewa talaka, nani aoe garasa km Hilda Newton, Rose Mayemba, Maria Sarungi, wanawake waongo, wazushi, wachochezi, wafitini, wapandikiza chuki, wanaotukana bila kujali umri wa mtu.
 
Kimsingi ameshindwa tu kusema kwamba chama hakina viongozi kina wahuni. Watu km Lissu, Heche eti ndiyo viongozi wakuu wa taasisi? Ni kwamba viongozi wa chini wameshachoka, Lissu na Heche hawana calibre, sifa ya kuwa viongozi wakuu wa taasisi yyte ile duniani.
 
Huyu jamaa anajikuta nani ndani ya chadema?
Si aondoke tu?
 
Hata uchaguzi uwe huru usimamiwe na malaika chadema haiwezi kushinda, chama ambacho hata uwezo wa kusimamisha wagombea nchi nzima hawana, kitashindaje uchaguzi? Kama Lowasa alishindwa, hakuna atakaeweza tena.
Chadema haitaki kushinda uchaguzi, inataka mshindi halali atangazwe. Kama unauwezo wa kuelewa utaelewa ni wapi tatizo lilipo.
 
Sio Sugu tuu wote waliotajwa na Mange wajiandae kuanzia kina Mnyika & co.

Amewanyoosha safi sana Mange shikia hapo hapo maana Hawa wapumbavu walikabidhi akili zao kwako.
 
Siku zote wahafudhina aka hardliner hawajawahi kuwa viongozi Waziri maana ni watu wa mihemko na sio akili na ni rahisi kuwa drive kweli kweli.

Sio tuu huko Chadomo hata nyie CCM wakati wa Mwendazake Nchi iliyumba Kwa maamuzi ya ukurupukaji Kwa sababu ya hulka yake ya kukaa upepo.

Ndio maana Duniani kote watu wenye misimamo mikali Huwa wanaepukwa ni rahpsi kuharibu kuliko kujenga
 
Kauli zake zimechagua upande mapema sana.
Huyo Sugu inajulikana kabisa upande wake hadi mtoto alimpa jina la mtu wake. Hivyo wasitafute visingizio uchwara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…