Baaaasi godubai hakuna mwanachadema hapa ni ushuzi mtupu.Katika Press inayoendelea ya Bwana GODBLESS LEMA sasa hivi
View: https://www.youtube.com/watch?v=FY5m3_OEpqQ
Amesikika akisema kwamba:Watu wanaozea Jela kwa sababu Wanaharakati wamekiteka Chama na Wanasema Hakuna kuzungumza nao hata watu wanapokuwa JELA ilhali hao wanaharakati wenyewe hawapo Tanzania wako nje ya nchi wamejificha.
Anadai kwamba kuna wakati inabidi ifanyike Strategic Engagement hasa kwa mambo madogo madogo ila sasa ukifanya mambo yakaenda unaambiwa umelambishwa asali jambo ambalo linakwamisha shughuli za kichama na kisiasa.
Msikilize kisha Utuambie nini maoni yako?
yy anaumia na nini?Katika Press inayoendelea ya Bwana GODBLESS LEMA sasa hivi
View: https://www.youtube.com/watch?v=FY5m3_OEpqQ
Amesikika akisema kwamba:Watu wanaozea Jela kwa sababu Wanaharakati wamekiteka Chama na Wanasema Hakuna kuzungumza nao hata watu wanapokuwa JELA ilhali hao wanaharakati wenyewe hawapo Tanzania wako nje ya nchi wamejificha.
Anadai kwamba kuna wakati inabidi ifanyike Strategic Engagement hasa kwa mambo madogo madogo ila sasa ukifanya mambo yakaenda unaambiwa umelambishwa asali jambo ambalo linakwamisha shughuli za kichama na kisiasa.
Msikilize kisha Utuambie nini maoni yako?
Ndio Strategic angagement hizoLema vipi tena! Lissu mwenyewe mbona alitamka wazi hataki wageni wa kumtembelea gerezeni usiku?
La Mwaipaya limesolviwa kwa chama kutoa pressure Hadi wanaharakati wa Kenya wakaingia mahakamani. Njia ya kupambana na hila za CCM itapatikana.Kifupi Lema anachosema, CDM wanaharakati wameamua siasa za jino Kwa jino ilihali hawana ufumbuzi wa madhara yanayowakumba kwenye hizo siasa na maadui zao.
Mfano: Mwaipaya ametekwa Kwa njia za kimafia Nairobi, Je suluhu ni nini ili kukabiliana na adui na kuwalinda wengine?.
Unapoanzisha harakati zozote ambazo huhitaji majadiliano au hiyo strategic engagement maana yake nawewe una mahala pa kushika dhidi ya adui mwenye vyombo vyote na uwanja mpana dhidi yako.
ndani ya viunga vya Hodeidah port - Yemeni
La Mwaipaya limesolviwa kwa chama kutoa pressure Hadi wanaharakati wa Kenya wakaingia mahakamani. Njia ya kupambana na hila za CCM itapatikana.