PreGE2025 Lema: Tundu Lissu hataki Vikao vya Gizani, ni bora anyongwe

PreGE2025 Lema: Tundu Lissu hataki Vikao vya Gizani, ni bora anyongwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Waliomfunga hawapati usingizi wakati mfungwa analala anakoroma maana hana hatia . Waliobambikiza kesi wana hatia miyoni mwao.
Wanalala unono

Cha maana wampe dawa zake za kichwa tu
 
Godbless Lema afichua maneno aliyoambiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu alipoenda kumtembelea Mahabusu.

Lema amedai wameagizwa kuendelea kusimamia msimamo wa MABADILIKO na yupo tayari KUNYONGWA kuliko kukubali vikao vya Gizani.
View attachment 3307580
Angalia wasikunyonge kweli TL
 
Back
Top Bottom