PreGE2025 Lema: Tundu Lissu hataki Vikao vya Gizani, ni bora anyongwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kaka naomba Nikuulize
je TlaaTlaa nae umemtag???🤓🤓😜🤩
 
Godbless Lema afichua maneno aliyoambiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu alipoenda kumtembelea Mahabusu.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Lema amedai wameagizwa kuendelea kusimamia msimamo wa MABADILIKO na yupo tayari KUNYONGWA kuliko kukubali vikao vya Gizani.

Hii ndio sababu kahamishwa gereza kwenda kupatiwa mateso zaidi, baada ya dalali Mbowe juzi kwenda kumtembelea na kumpa ujumbe wa kusuka au kunyoa. Aliposema yuko tayari kunyongwa hadi kufa, na hataki vikao vya gizani, imebidi itumike plan B. Hii ndio sababu ccm walikuwa hawataki mtu kama Lisu awe mwenyekiti wa cdm, maana hakubaliani na siasa za ghiliba.
 
Ukimwamini mwanasiasa kama LEMA unakuwa una matatizo kichwani mwako. Jamaa ana matusi huyoooo!
 
Godbless Lema afichua maneno aliyoambiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu alipoenda kumtembelea Mahabusu.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Lema amedai wameagizwa kuendelea kusimamia msimamo wa MABADILIKO na yupo tayari KUNYONGWA kuliko kukubali vikao vya Gizani.

Dunia iko kasi sana
 
Back
Top Bottom