wakali ndondo
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 583
- 908
Ni kweli na jana alienda gerezani kupeleka ujumbe wa vikao vya gizannLissu kakataaNdio maana Mbowe amewatenga, maana hiyo kauli ya mazungumzo ya "gizani" najua kabisa amemlenga naniš¼
Ni kweli na jana alienda gerezani kupeleka ujumbe wa vikao vya gizannLissu kakataaNdio maana Mbowe amewatenga, maana hiyo kauli ya mazungumzo ya "gizani" najua kabisa amemlenga naniš¼
Ndio maana Mbowe amewatenga, maana hiyo kauli ya mazungumzo ya "gizani" najua kabisa amemlenga naniš¼
Huo ndo UKWELI...huko vitanda vimemwagiwa kunguniWaliomfunga hawapati usingizi wakati mfungwa analala anakoroma maana hana hatia . Waliobambikiza kesi wana hatia miyoni mwao.
Mungu amemuepusha na kifo bado hajatimiza kilichomleta duniani, kuiondoa ccm.....kama haogopi kufa aweke sumu ya panya kwenye whisky ajimalize, hivyo ndivyo watu jasiri hufanya,
sio kubwelambwela hapa eti ng'we ng'we ng'we siogopi kufa š
Yawezekana ameona hadaa inamsafishia njiaHivi mama Samia hadi sasa hajui kwamba njia zake za ulaghai na hadaa sasa hazina nafasi tena?
Watu wamekwisha tambua udanganyifu na uongo mwingi anaoutumia katika uongozi wake. Mazungumzo na maridhiano kwake ni njia za kupumbaza watu tu huku akifanya uovu ule ule aliozoea kuufanya.
amemuepusha vipi wakati roho ya mauti inamuandama hadi anaihubiri kana kwamba hilo ndilo neno la baraka kwa wanachadema madamu?Mungu amemuepusha na kifo bado hajatimiza kilichomleta duniani, kuiondoa ccm.....
Wendawazimu tu!Godbless Lema afichua maneno aliyoambiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu alipoenda kumtembelea Mahabusu.
Lema amedai wameagizwa kuendelea kusimamia msimamo wa MABADILIKO na yupo tayari KUNYONGWA kuliko kukubali vikao vya Gizani.
View attachment 3307580
Hivi mama Samia hadi sasa hajui kwamba njia zake za ulaghai na hadaa sasa hazina nafasi tena?
Watu wamekwisha tambua udanganyifu na uongo mwingi anaoutumia katika uongozi wake. Mazungumzo na maridhiano kwake ni njia za kupumbaza watu tu huku akifanya uovu ule ule aliozoea kuufanya.
kama haogopi kufa aweke sumu ya panya kwenye whisky ajimalize, hivyo ndivyo watu jasiri hufanya,
sio kubwelambwela hapa eti ng'we ng'we ng'we siogopi kufa š
mbona weo kasongo?šNilishangaa nani ameandika haya!! Kutazama, kumbe ni lile punguani la siku zote; Tlaatlaah!!
Kwa alipofikia naona hajali chochote isipokuwa MADARAKAKwa kweli huyu mama alivyoanza, sikutarajia angekuja kuwa mnafiki na mlaghai kiasi hiki. Ajue hataikosa adhabu ya matendo yake. Ulaghai huzaa laana kwa mhusika na vizazi vyake, labda afanye toba iliyo ya kweli.
Acheni kumsingizia huyo mzeeJana mbowe kampelekea masharti kayakataa ndio maana leo police wametoa matamko;;;
Tutaelewana tu no reform no Election