Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
NaamGodbless Lema afichua maneno aliyoambiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu alipoenda kumtembelea Mahabusu.
Wameanza kumtafuta wenyewe?Godbless Lema afichua maneno aliyoambiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu alipoenda kumtembelea Mahabusu.
Waliomfunga hawapati usingizi wakati mfungwa analala anakoroma maana hana hatia . Waliobambikiza kesi wana hatia miyoni mwao.Hakuna wa kunyonga mtu
Wanatafuta drama
mabadiliko ni ya lazmaJana mbowe kampelekea mashariti kayakataa ndio maana leo police wametoa matamko;;;
Tutaelewana tu no reform no Election
No reform no Election.Jana mbowe kampelekea mashariti kayakataa ndio maana leo police wametoa matamko;;;
Tutaelewana tu no reform no Election
Wanalala unonoWaliomfunga hawapati usingizi wakati mfungwa analala anakoroma maana hana hatia . Waliobambikiza kesi wana hatia miyoni mwao.
Angalia wasikunyonge kweli TLGodbless Lema afichua maneno aliyoambiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu alipoenda kumtembelea Mahabusu.
Lema amedai wameagizwa kuendelea kusimamia msimamo wa MABADILIKO na yupo tayari KUNYONGWA kuliko kukubali vikao vya Gizani.
View attachment 3307580
Alimwambia nani?Yule komando ktk kesi ya ugaidi ya mbowe akamwambia mwezake
MIKAZO ILE ILE
Hahahah wameanza kumfata fataWanalala unono
Cha maana wampe dawa zake za kichwa tu
Nakumbuka hiyo sentensi...Yule komando ktk kesi ya ugaidi ya mbowe akamwambia mwezake
MIKAZO ILE ILE
Mento ile Haina kitu zaidi ya domoHahahah wameanza kumfata fata
Mento ile Haina kitu zaidi ya domo