PreGE2025 Lema: Tundu Lissu hataki Vikao vya Gizani, ni bora anyongwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kaka naomba Nikuulize
je TlaaTlaa nae umemtag???πŸ€“πŸ€“πŸ˜œπŸ€©
 
Hii ndio sababu kahamishwa gereza kwenda kupatiwa mateso zaidi, baada ya dalali Mbowe juzi kwenda kumtembelea na kumpa ujumbe wa kusuka au kunyoa. Aliposema yuko tayari kunyongwa hadi kufa, na hataki vikao vya gizani, imebidi itumike plan B. Hii ndio sababu ccm walikuwa hawataki mtu kama Lisu awe mwenyekiti wa cdm, maana hakubaliani na siasa za ghiliba.
 
Ukimwamini mwanasiasa kama LEMA unakuwa una matatizo kichwani mwako. Jamaa ana matusi huyoooo!
 
Dunia iko kasi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…