Lema, umelikoroga, rudi Canada kwanza ujifikirie

Sasa Lema kaingia kichwa kichwa kuwatukana boda boda. Najiuliza, huko Canada hakutumia muda wake kusoma vitabu vya siasa za Class Struggle?
Hivyo vitabu si size ya huyu mpumbavu.

Anahoji mtoto wa Majaliwa kutoendesha bodaboda, ajue kuwa hata Marekani, taifa tajiri zaidi duniani, si vijana wote huko wana maisha sawa na watoto wa Trump au Biden.

Pumbafu zake.
 
Kaja na matusi mapya ;
1.Washamba
2:Laaana
3:Mke wangu nitamkana akijiunga vicoba
3:Mimi ni mchagga
5:Arusha wanajielewa wanajua hata cafelate ni nini
Akili za Lema finyu sana, hiki ndicho kilimfanya akimbilie ughaibuni.
Unatukana hakafu una kimbia.
 
Lema amekuwa nje ya nchi kwa muda mrefu. Karudi ana mawazo ya ajabu ajabu na bado anafikiri yupo kipindi cha Magufuli, kile cha ugomvi ugomvi na mivutano. Anachoongea sasa ni kama samaki aliyetolewa majini. Hajui siasa za Tanzania zimesonga.

Ameanza kwa kuwananga madereva wa bodoboda, ati kazi ile ni laana. Sasa hata kabla hajaomba radhi, tunasikia bado kakalia kuti lile lile la kuwalaani bodaboda, kwav ile ati watoto wa wakubwa akiwemo Majaliwa Waziri Nkuu hawaendeshi bodaboda!

Huyu bwana ana kichaa.

Anashambulia nyasi zitakazo mwunguza.
Ni kama mtoto anayejamba halafu anashangaa harufu inatoka wapi!

A powerful mass, umma wa kikundi chochote nchini ndiyo oxygen ya mwanasiasa, na kata hiyo oxygen unakufa.

Mama Samia alitumia akili kubwa kuwaondoa machinga barabarani, hakuwananga, hakuwatukana, wala hakutumia polisi kuwatoa, aliwabembeleza na wakamwelewa.

Sasa Lema kaingia kichwa kichwa kuwatukana boda boda. Najiuliza, huko Canada hakutumia muda wake kusoma vitabu vya siasa za Class Struggle?

Nashauri arudi Canada na akajiandae vizuri zaidi.

Nadhani ni political strategy ya kujitangaza. Naona nchi nzima imetambua uwepo wake.
 
Lema: Askofu Gwajima alimwambia Lissu asiende Dodoma siku moja kabla ya tukio, na alipokaidi alipigwa risasi.

Tundu Antipas Lissu: Askofu Gwajima hakunipigia simu kunitahadharisha juu ya tukio Hilo.

Hawa wote ni CDM, je wanataka umma uamini nn juu ya tukio hili?
 
ombwe unalo wewe kichwan mwako ndio maana hujamwelewa lema aliposema kuwa serikali itengeneze mazingira mazuri ya viwanda ili vijana wafanye kaz viwandan, ccm ni hovyo kabisa mnacheza bugobogobo anaowapigia lema.
Unamtukana masikini kumkomoa serikali, una akili pambaf kabisa.
 
Hivyo vitabu si size ya huyu mpumbavu.

Anahoji mtoto wa Majaliwa kutoendesha bodaboda, ajue kuwa hata Marekani, taifa tajiri zaidi duniani, si vijana wote huko wana maisha sawa na watoto wa Trump au Biden.

Pumbafu zake.
haya tuambie mtoto wa trump aliyeajiriwa serikalini mjinga wewe unafikir wote humu ni mbulumbulu kama mlivyojazana huko ccm.
 
Siasa anazofanya Lema zinaonekana ni rahisi na mtu yoyote anaweza kufanya siasa kwasababu kazi yake ni kukosoa kiasi ambacho mtu kutoka matumbi huko anaweza kufanya haji na solutions kwa kile anachokilalamikia

Lema amefanikiwa kwa alichokitaka. Mwanasiasa ana strategies nyingi ikiwemo kutoa controversial statement ili aongelewe
 
Lema amekuwa nje ya nchi kwa muda mrefu. Karudi ana mawazo ya ajabu ajabu na bado anafikiri yupo kipindi cha Magufuli, kile cha ugomvi ugomvi na mivutano. Anachoongea sasa ni kama samaki aliyetolewa majini. Hajui siasa za Tanzania zimesonga.

Ameanza kwa kuwananga madereva wa bodoboda, ati kazi ile ni laana. Sasa hata kabla hajaomba radhi, tunasikia bado kakalia kuti lile lile la kuwalaani bodaboda, kwav ile ati watoto wa wakubwa akiwemo Majaliwa Waziri Nkuu hawaendeshi bodaboda!

Huyu bwana ana kichaa.

Anashambulia nyasi zitakazo mwunguza.
Ni kama mtoto anayejamba halafu anashangaa harufu inatoka wapi!

A powerful mass, umma wa kikundi chochote nchini ndiyo oxygen ya mwanasiasa, na kata hiyo oxygen unakufa.

Mama Samia alitumia akili kubwa kuwaondoa machinga barabarani, hakuwananga, hakuwatukana, wala hakutumia polisi kuwatoa, aliwabembeleza na wakamwelewa.

Sasa Lema kaingia kichwa kichwa kuwatukana boda boda. Najiuliza, huko Canada hakutumia muda wake kusoma vitabu vya siasa za Class Struggle?

Nashauri arudi Canada na akajiandae vizuri zaidi.

Lema hajatukana bobaboda bali kazi ya uboda boda.
 
Lema sasa hivi aatafuta suasa za confrontation zilizopitwa na wakati.
Angekuwa na akili angesema hao vijana wa bidaboda CHADEMA ina mpangi upi wa kuwaajiri.

Kwa vile kichwani mwa Lema kuna ombwe, anatafuta mtu wa kugombana naye.

Wewe ndio una ombwe, Lema kaongela kazi ya uboda boda, lakini wewe unalazimisha kuwa kawatukana waendesha bodaboda.
 
Lema amefanikiwa kwa alichokitaka. Mwanasiasa ana strategies nyingi ikiwemo kutoa controversial statement ili aongelewe
Hizo controversial zinamsaidia nini? angekuwa ni msanii Ningemuelewa sasa yeye ni mwanasiasa chochote anachongea kinaweza kumletea positive or negative impact kwenye siasa zake
 
Ushamba mbaya sana
Badala ya kuleta mazuri aliyoyaona huko, yeye anashangaa kuona pikipiki kwanini zimejaa hapo

Hana akili ya kusema nini kifanyike
Yeye na watoto wanakula government support na asiporudi baada ya miezi miwili wanafyeka
Amekuja kama yule mwenzake na atarudi tu

Kwa aliyoyaona Canada anashangaa na kujisemea kumbe kuna maisha ya hivyo?
Kazoea TV sasa kaenda kujionea poor guy
 
Lema sasa hivi aatafuta suasa za confrontation zilizopitwa na wakati.
Angekuwa na akili angesema hao vijana wa bidaboda CHADEMA ina mpangi upi wa kuwaajiri.

Kwa vile kichwani mwa Lema kuna ombwe, anatafuta mtu wa kugombana naye.
Wajibu wa lema ni kuonyesha kulipo na dosari ili watawala warekebishe no matter atatumia njia gani kuonyesha dosari hiyo. Dosari ni dosari tu. Bodaboda ni dosari. Sasa mlikuwa mnataka atumie njia gani? Nyeupe ni nyeupe tu na nyeusi ni nyeusi tu.

Sasa kama ninyi ccm mnaona njia anayotumia Lema ni kujitumbukiza shimoni yeye na chama chake, si mumuache ili ajimalize vizuri? Maana adui yako anapofanya makosa hutakiwi kumsanua, sasa inakuwaje ninyi mnamsanua? Toka lini mkawa watu wazuri kwa chadema kiasi kwamba mnaanza kuwashauri cha kuongea?
 
Lema: Askofu Gwajima alimwambia Lissu asiende Dodoma siku moja kabla ya tukio, na alipokaidi alipigwa risasi.

Tundu Antipas Lissu: Askofu Gwajima hakunipigia simu kunitahadharisha juu ya tukio Hilo.

Hawa wote ni CDM, je wanataka umma uamini nn juu ya tukio hili?
Acha upumbavu kenge wewe, kila mtu anaweza kuandika upuuzi kama wako, tatizo unamuandikia nani? Tatizo linalosababishwa na upumbavu wako unaona kila mtu humu ana akili ya kipumbavu kama yako. Exposure ni muhimu sana. Tembea utajifunza mengi
 
Lema amefanikiwa kwa alichokitaka. Mwanasiasa ana strategies nyingi ikiwemo kutoa controversial statement ili aongelewe
Kama utafanya kitu ili uongelewe bila kujali utaongelewa negatively au positively, utakuwa na matatizo makubwa kichwani.
 
Hizo controversial zinamsaidia nini? angekuwa ni msanii Ningemuelewa sasa yeye ni mwanasiasa chochote anachongea kinaweza kumletea positive or negative impact kwenye siasa zake
😆😆 Kumbe hawa watu ni zaidi ya wapumbavu. Kwamba anaweza hata kuingia mtaani akiwa uchi ili mradi aongelewe.
 
Acha upumbavu kenge wewe, kila mtu anaweza kuandika upuuzi kama wako, tatizo unamuandikia nani? Tatizo linalosababishwa na upumbavu wako unaona kila mtu humu ana akili ya kipumbavu kama yako. Exposure ni muhimu sana. Tembea utajifunza mengi
Jibu HOJA,

Lugha chafu hazisaidii kujibu HOJA hizo,

Lisu ametamka kule Space, na Lema amesikika Arusha.

CDM inamuhitaji sana Dr Slaa, semina zinahitajika kuwasaidia watu aina ya Lema kujiandaa kabla ya kupanda jukwaani.
 
Back
Top Bottom