Lema, umelikoroga, rudi Canada kwanza ujifikirie

Lema, umelikoroga, rudi Canada kwanza ujifikirie

CDM inamuhitaji sana Dr Slaa, semina zinahitajika kuwasaidia watu aina ya Lema kujiandaa kabla ya kupanda jukwaani.
Dr Slaa aliutangazia umma kuachana na siasa za vyama, nitamshangaa akibadili uamuzi wake huo; lakini nitawashangaa zaidi chadema kama watampokea akiamua kujiunga nao tena.
 
Dr Slaa aliutangazia umma kuachana na siasa za vyama, nitamshangaa akibadili uamuzi wake huo; lakini nitawashangaa zaidi chadema kama watampokea akiamua kujiunga nao tena.
Apokelewe mara ngapi?

Pale CDM hayupo wa kumzuia Slaa uanachama, labda akatae mwenyewe.
 
Lema ni mwanasiasa, muache afanye siasa.
Hivi ukidhajua kutujana na kudhalilisha wenzio ww ndo unakuwa tayari mwanasiasa,au kuongea kwa Jazba huku unatema Mate mpaka Mic inalowana inafanywa tu kuanikwa juani ichuruzike hayo mate ndo uana siasa huo?
 
haya tuambie mtoto wa trump aliyeajiriwa serikalini mjinga wewe unafikir wote humu ni mbulumbulu kama mlivyojazana huko ccm.
Kuna vitu mnaongea ila nadhani wala hampati muda wa kuwaza mnaongea nini na kwa wakati gani?
Embu chukua muda kidogo kaa na waza je wewe hapo mtaani kwenu mnapoishi watoto wa matajiri wanaishi maisha kama wanayoishi watoto wako au watoto wa bab yako?.
Wazazi tunapambana ili watoto wetu wasjekuishi maisha kama tunayoishi sisi ya kuangaika....So hatulingani system ya maisha.
 
Boda Boda si kazi kwa kweli ntasimama pamoja na Mheshimiwa Lema.. nina vijana watatu wa kiume sijawahi ota hata mmoja wapo aje kuwa boda boda hata iweje, ni kama kupiga debe tu hela wanapata lkn sio kazi.
Kazi ni ipi?
 
huo ni mgawanyo wa kazi tu.
haiwezekani sisi site tujiajiri kwenye boda,
haiwezekani sisi sote tujiajiri kwenye kilimo.
haiwezekani sisi sote tujiajiri kwenye uvuvi.
haiwezekani sisi sote tujiajiri kwenye kuchimba madini.
haiwezekani sisi sote tujiajiri kwenye kuzibua vyoo.

Lazima kuwepo na mgawanyoko wa majukumu.

Hata huko Kanada kuna mgawanyo wa majukumu.
Points tupu.
 
wajingawajinga tumewashtukia mwambien yule muongo wa taifa majaliwa awalete watoto wake kwenye bodaboda ndio tutaona kuwa ni kaz ya maana tofauti na hapo ni upumbavu kuambiwa na majambaz ya kura kuwa bodaboda ni kaz ya maana huku watoto wa kitila mkumbo na madelu wakitaftiwa kaz BOT NA TRA.
Naona umelewa mataputapu!
 
Lema amekuwa nje ya nchi kwa muda mrefu. Karudi ana mawazo ya ajabu ajabu na bado anafikiri yupo kipindi cha Magufuli, kile cha ugomvi ugomvi na mivutano. Anachoongea sasa ni kama samaki aliyetolewa majini. Hajui siasa za Tanzania zimesonga.

Ameanza kwa kuwananga madereva wa bodoboda, ati kazi ile ni laana. Sasa hata kabla hajaomba radhi, tunasikia bado kakalia kuti lile lile la kuwalaani bodaboda, kwav ile ati watoto wa wakubwa akiwemo Majaliwa Waziri Nkuu hawaendeshi bodaboda!

Huyu bwana ana kichaa.

Anashambulia nyasi zitakazo mwunguza.
Ni kama mtoto anayejamba halafu anashangaa harufu inatoka wapi!

A powerful mass, umma wa kikundi chochote nchini ndiyo oxygen ya mwanasiasa, na kata hiyo oxygen unakufa.

Mama Samia alitumia akili kubwa kuwaondoa machinga barabarani, hakuwananga, hakuwatukana, wala hakutumia polisi kuwatoa, aliwabembeleza na wakamwelewa.

Sasa Lema kaingia kichwa kichwa kuwatukana boda boda. Najiuliza, huko Canada hakutumia muda wake kusoma vitabu vya siasa za Class Struggle?

Nashauri arudi Canada na akajiandae vizuri zaidi.
Sukuma gang at work. Nakeambia mwaka huu mtayaita maji mma
 
Lema sasa hivi aatafuta siasa za confrontation zilizopitwa na wakati.
Angekuwa na akili angesema hao vijana wa bodaboda CHADEMA ina mpangi upi wa kuwaajiri.

Kwa vile kichwani mwa Lema kuna ombwe, anatafuta mtu wa kugombana naye.
Siyo kazi yake kuwaajiri bobaboda hiyo ni kazi ya serikali. Pindi serikali ikishindwa ndo ulitangangaze kwamba jamani tumeshundwa tunaomba msaada. Sasa msaada wetu ni kuwatoa madarakani halafu sisi tunawachukua vijana wa bodaboda tunawapa kazi nzuri za staha za kufanya wanaondokana na hiyo kadhia. Mama alisema tumuoneshe weakness za serikali basi tumeanzia hapo na makubwa yanakuja, stay optimistic and positive. Mambo haya hayahitaji hasira Bali timing tu. Lema ameshachukua point 3 muhimu katika hili
 
Sukuma gang at work. Nakeambia mwaka huu mtayaita maji mma

Chikenpox​

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2022

We pimbi wa kuja juzi, soma kwanza uwaelewe members humu mtandaoni.
Unakuja hata tongotongo hazijakutoka.
 

Chikenpox​

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2022

We pimbi wa kuja juzi, soma kwanza uwaelewe members humu mtandaoni.
Unakuja hata tongotongo hazijakutoka.
Kwani siyo sukuma gang. I'm sorry Dr Bashiru lakini maji soon utayaita mma
 
Siyo kazi yake kuwaajiri bobaboda hiyo ni kazi ya serikali. Pindi serikali ikishindwa ndo ulitangangaze kwamba jamani tumeshundwa tunaomba msaada. Sasa msaada wetu ni kuwatoa madarakani halafu sisi tunawachukua vijana wa bodaboda tunawapa kazi nzuri za staha za kufanya wanaondokana na hiyo kadhia. Mama alisema tumuoneshe weakness za serikali basi tumeanzia hapo na makubwa yanakuja, stay optimistic and positive. Mambo haya hayahitaji hasira Bali timing tu. Lema ameshachukua point 3 muhimu katika hili
Maneno ya vijiwe vya wanolewa gongo, Lema kalikoroga big time.
Narudia, kajamba halafu anashangaa pamoja na ninyi ushuzi unatoka wapi!
 
Ulilisikia tamko au kauli ya mbowe baada ya hapo?!
Mbowe hata kukiri kupokea RUZUKU hajasema Hadi sasa,

Lisu angalau amekiri CDM kupokea RUZUKU.

Mbowe Amesema mwanachama CDM anaweza ingia na Kutoka bila shida yoyote.

Kipi Rahisi Kwa Mbowe kati ya; KUMPOKEA Slaa au kuwasamehe COVID 19?

Kama sababu ya kuwasamehe COVID ni walitishwa, basi na Mzee yule alizidiwa mbinu na Mushumbusisi.😃😃😃

Maridhiano ni kusameheana, ndani na nje.
 
Back
Top Bottom