Dr Slaa aliutangazia umma kuachana na siasa za vyama, nitamshangaa akibadili uamuzi wake huo; lakini nitawashangaa zaidi chadema kama watampokea akiamua kujiunga nao tena.CDM inamuhitaji sana Dr Slaa, semina zinahitajika kuwasaidia watu aina ya Lema kujiandaa kabla ya kupanda jukwaani.
Apokelewe mara ngapi?Dr Slaa aliutangazia umma kuachana na siasa za vyama, nitamshangaa akibadili uamuzi wake huo; lakini nitawashangaa zaidi chadema kama watampokea akiamua kujiunga nao tena.
Nani kampokea?! Weka ushahidi hapa.Apokelewe mara ngapi?
Pale CDM hayupo wa kumzuia Slaa uanachama, labda akatae mwenyewe.
CDM walimpaje Dr Slaa jukwaa karatu aongee na wananchi bila kujadiliana naye na kujua motive behind hotuba yake?Nani kampokea?! Weka ushahidi hapa.
Hivi ukidhajua kutujana na kudhalilisha wenzio ww ndo unakuwa tayari mwanasiasa,au kuongea kwa Jazba huku unatema Mate mpaka Mic inalowana inafanywa tu kuanikwa juani ichuruzike hayo mate ndo uana siasa huo?Lema ni mwanasiasa, muache afanye siasa.
Kuna vitu mnaongea ila nadhani wala hampati muda wa kuwaza mnaongea nini na kwa wakati gani?haya tuambie mtoto wa trump aliyeajiriwa serikalini mjinga wewe unafikir wote humu ni mbulumbulu kama mlivyojazana huko ccm.
Kazi ni ipi?Boda Boda si kazi kwa kweli ntasimama pamoja na Mheshimiwa Lema.. nina vijana watatu wa kiume sijawahi ota hata mmoja wapo aje kuwa boda boda hata iweje, ni kama kupiga debe tu hela wanapata lkn sio kazi.
Points tupu.huo ni mgawanyo wa kazi tu.
haiwezekani sisi site tujiajiri kwenye boda,
haiwezekani sisi sote tujiajiri kwenye kilimo.
haiwezekani sisi sote tujiajiri kwenye uvuvi.
haiwezekani sisi sote tujiajiri kwenye kuchimba madini.
haiwezekani sisi sote tujiajiri kwenye kuzibua vyoo.
Lazima kuwepo na mgawanyoko wa majukumu.
Hata huko Kanada kuna mgawanyo wa majukumu.
Naona umelewa mataputapu!wajingawajinga tumewashtukia mwambien yule muongo wa taifa majaliwa awalete watoto wake kwenye bodaboda ndio tutaona kuwa ni kaz ya maana tofauti na hapo ni upumbavu kuambiwa na majambaz ya kura kuwa bodaboda ni kaz ya maana huku watoto wa kitila mkumbo na madelu wakitaftiwa kaz BOT NA TRA.
Sukuma gang at work. Nakeambia mwaka huu mtayaita maji mmaLema amekuwa nje ya nchi kwa muda mrefu. Karudi ana mawazo ya ajabu ajabu na bado anafikiri yupo kipindi cha Magufuli, kile cha ugomvi ugomvi na mivutano. Anachoongea sasa ni kama samaki aliyetolewa majini. Hajui siasa za Tanzania zimesonga.
Ameanza kwa kuwananga madereva wa bodoboda, ati kazi ile ni laana. Sasa hata kabla hajaomba radhi, tunasikia bado kakalia kuti lile lile la kuwalaani bodaboda, kwav ile ati watoto wa wakubwa akiwemo Majaliwa Waziri Nkuu hawaendeshi bodaboda!
Huyu bwana ana kichaa.
Anashambulia nyasi zitakazo mwunguza.
Ni kama mtoto anayejamba halafu anashangaa harufu inatoka wapi!
A powerful mass, umma wa kikundi chochote nchini ndiyo oxygen ya mwanasiasa, na kata hiyo oxygen unakufa.
Mama Samia alitumia akili kubwa kuwaondoa machinga barabarani, hakuwananga, hakuwatukana, wala hakutumia polisi kuwatoa, aliwabembeleza na wakamwelewa.
Sasa Lema kaingia kichwa kichwa kuwatukana boda boda. Najiuliza, huko Canada hakutumia muda wake kusoma vitabu vya siasa za Class Struggle?
Nashauri arudi Canada na akajiandae vizuri zaidi.
Siyo kazi yake kuwaajiri bobaboda hiyo ni kazi ya serikali. Pindi serikali ikishindwa ndo ulitangangaze kwamba jamani tumeshundwa tunaomba msaada. Sasa msaada wetu ni kuwatoa madarakani halafu sisi tunawachukua vijana wa bodaboda tunawapa kazi nzuri za staha za kufanya wanaondokana na hiyo kadhia. Mama alisema tumuoneshe weakness za serikali basi tumeanzia hapo na makubwa yanakuja, stay optimistic and positive. Mambo haya hayahitaji hasira Bali timing tu. Lema ameshachukua point 3 muhimu katika hiliLema sasa hivi aatafuta siasa za confrontation zilizopitwa na wakati.
Angekuwa na akili angesema hao vijana wa bodaboda CHADEMA ina mpangi upi wa kuwaajiri.
Kwa vile kichwani mwa Lema kuna ombwe, anatafuta mtu wa kugombana naye.
Ulilisikia tamko au kauli ya mbowe baada ya hapo?!CDM walimpaje Dr Slaa jukwaa karatu aongee na wananchi bila kujadiliana naye na kujua motive behind hotuba yake?
Kwani siyo sukuma gang. I'm sorry Dr Bashiru lakini maji soon utayaita mmaChikenpox
JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2022
We pimbi wa kuja juzi, soma kwanza uwaelewe members humu mtandaoni.
Unakuja hata tongotongo hazijakutoka.
Maneno ya vijiwe vya wanolewa gongo, Lema kalikoroga big time.Siyo kazi yake kuwaajiri bobaboda hiyo ni kazi ya serikali. Pindi serikali ikishindwa ndo ulitangangaze kwamba jamani tumeshundwa tunaomba msaada. Sasa msaada wetu ni kuwatoa madarakani halafu sisi tunawachukua vijana wa bodaboda tunawapa kazi nzuri za staha za kufanya wanaondokana na hiyo kadhia. Mama alisema tumuoneshe weakness za serikali basi tumeanzia hapo na makubwa yanakuja, stay optimistic and positive. Mambo haya hayahitaji hasira Bali timing tu. Lema ameshachukua point 3 muhimu katika hili
mma uliyoyaona mkalioni kwako au siyo, utalijua jiji!Kwani siyo sukuma gang. I'm sorry Dr Bashiru lakini maji soon utayaita mma
Tuko nyuma ya lema sisi bodaboda hii kazi ni basi tuManeno ya vijiwe vya wanolewa gongo, Lema kalikoroga big time.
Narudia, kajamba halafu anashangaa pamoja na ninyi ushuzi unatoka wapi!
Kwani hujui mmma ni nini? Siku ukianza kudata ndo utajua hujuimma uliyoyaona mkalioni kwako au siyo, utalijua jiji!
Nimekueleza hayo mma makalioni kwako usishangae sana, ndiyo jijiKwani hujui mmma ni nini? Siku ukianza kudata ndo utajua hujui
Mbowe hata kukiri kupokea RUZUKU hajasema Hadi sasa,Ulilisikia tamko au kauli ya mbowe baada ya hapo?!