Lema: Wachagga tuna msemo unasema "Siyo rahisi kumuona shetani anavyokuja bali utamuona shetani anavyoondoka"

Duh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.

Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na
Swali Fupi sana kama na wewe humfuatilii kipi kimekufanya usome huu uzi kwa sababu huu uzi Title ina Jina LEMA kama ungekua humfuatilii usingeusoma na usingejua kipi amesema na Real usinge comment chochote.
 
Duh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.

Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?

Haya endeleeni.

P
Mkuu jiheshimu basi, mana kuna wengine bado tunakuona wa maana ila unatukwaza. Ningeshauri ni bora ukae kimya mkuu.
 
Hahahah mbona wew bado uko utumwani sema hujijui. Lini shetani ameachwa kusemwa duniani? Angalia kuna mwovu gani ameachwa kusemwa mpaka leo. Kuna kitu nchi kama nchi ilikosea na tukapewa adhabu ya kuwa na Rais kama Jiwe. Wananchi wakamlilia Mungu na kutubu then Jiwe likatoweshwa.
 
Duh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.

Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?

Haya endeleeni.

P
Rejea ndoto iliyomuweka Lema gerezani
 
Duh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.

Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?

Haya endeleeni.

P
Lena na wewe Pascal Hamna utofauti. Wote wachumia tumbo tulishaachaga kitambo kuwafuatilia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…