Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Kwa hiyo kila kifo ni adhabu.?Simply aliyemfanyia haya Lissu cha moto anakiona maana walioenda ilikua nikutekeleza order tu, mtoa order aliumwa kimya kimya wakaficha kama walivyowaficha washambuliaji wa Lissu, aliumwa mpaka akafa bila hata dua njema, hii inadhiirisha Mungu yupo na kila jema na baya tunalofanya litahesabiwa na kutunukiwa au kuadhibiwa chaguo ni letu.
Nani amesema kifo cha mwendazake ndio kifo cha kila mtu?Kwa hiyo kila kifo ni adhabu.?
Oooh nafurahi uko salamaLema kupitia space anasema
"Waziri Kalemani, alimpigia mke wake simu kwamba polisi wanakuja hapo kuondoa kamera wape ushirikiano, hii ni baada ya @TunduALissu kupigwa risasi.." —; @godbless_lema
Natamani kusikia hii Taarifa siyo kweli, natamani kusikia kutoka kwa Mhe. Kalemani. Kama mke aliambiwa atoe ushirikiano means waliomba ushirikiano kwa Kalemani wanafahamika na yeye anawafahamu.
Tunafanya haya kwa sababu yakutafuta Nini hapa Duniani? Vyeo tu au Kuna mengine. Inaumiza Sana pale mapadre, maaskofu na wachungaji wanapojua kwamba waumini wetu wanatembea na dhambi vifuani mwao. Pls natamani niskie full story ya huu ushahidi wa Lema.
"
Sasa mkuu sababu ya kutuaga wanaJF ilikuwa nini? And nini kimekurudisha humu?Kwa wale mnaopenda kujua uzima wangu Namshukuru muumba nipo mzima wa afya,uzee tu unasumbua na kwa maisha yalivyo usipotambua Duniani tunapita utaomba wengine wafe ila wakifa hautokaa uishi maisha yao. Leo JPM hayupo, hakuna anayeishi maisha yake. Na wengine walioondoka hakuna Leo mtu anayeishi maisha ya yule aliyeondoka, utaishia kuishi maisha yako tu.
Chamsingi tujiandae tuwe na mwisho mwema.
Ili kudhihirisha kauli yako hii, tunaomba utupe ukweli wa nani aliondoa cctv camera kwenye nyumba za serikali? ili tuweze kumuaibisha Lema.Lema ni muhuni na Propagandist aliebobea. Ni miongoni mwa Magaidi. Alifaaa kujulishwa na Mboe.
Si umuulize Lema. Maana kasema anawajua.! Kama sio propaganda ni nini.?Ili kudhihirisha kauli yako hii, tunaomba utupe ukweli wa nani aliondoa cctv camera kwenye nyumba za serikali? ili tuweze kumuaibisha Lema.
Akili ya kawaida tu ya mambo ya plottting yoyote ya assassination, waziri ampigie simu mke wa mbunge kumtaka afanye kitu fulani ili kuwezesha kitu fulani? Hapa nionacho ni lema ni dumb zaidi ya nilivyodhanLema kupitia space anasema
"Waziri Kalemani, alimpigia mke wake simu kwamba polisi wanakuja hapo kuondoa kamera wape ushirikiano, hii ni baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi.." —; Godbless Lema
Natamani kusikia hii Taarifa siyo kweli, natamani kusikia kutoka kwa Mhe. Kalemani. Kama mke aliambiwa atoe ushirikiano means waliomba ushirikiano kwa Kalemani wanafahamika na yeye anawafahamu.
Tunafanya haya kwa sababu yakutafuta Nini hapa Duniani? Vyeo tu au Kuna mengine. Inaumiza Sana pale mapadre, maaskofu na wachungaji wanapojua kwamba waumini wetu wanatembea na dhambi vifuani mwao. Pls natamani niskie full story ya huu ushahidi wa Lema.
"
Hivi kwa nini lema ni nunda sana? Hivi kweli unaandika kabisa huu upumbavu na unaona una point? DahLema kupitia space anasema
"Waziri Kalemani, alimpigia mke wake simu kwamba polisi wanakuja hapo kuondoa kamera wape ushirikiano, hii ni baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi.." —; Godbless Lema
Natamani kusikia hii Taarifa siyo kweli, natamani kusikia kutoka kwa Mhe. Kalemani. Kama mke aliambiwa atoe ushirikiano means waliomba ushirikiano kwa Kalemani wanafahamika na yeye anawafahamu.
Tunafanya haya kwa sababu yakutafuta Nini hapa Duniani? Vyeo tu au Kuna mengine. Inaumiza Sana pale mapadre, maaskofu na wachungaji wanapojua kwamba waumini wetu wanatembea na dhambi vifuani mwao. Pls natamani niskie full story ya huu ushahidi wa Lema.
"
Samia ameshakengeuka ataishia pabaya tu.Simply aliyemfanyia haya Lissu cha moto anakiona maana walioenda ilikua nikutekeleza order tu, mtoa order aliumwa kimya kimya wakaficha kama walivyowaficha washambuliaji wa Lissu, aliumwa mpaka akafa bila hata dua njema, hii inadhiirisha Mungu yupo na kila jema na baya tunalofanya litahesabiwa na kutunukiwa au kuadhibiwa chaguo ni letu.
Kwani lema ndiye kajiita propagandist?Si umuulize Lema. Maana kasema anawajua.! Kama sio propaganda ni nini.?