Lema: Waziri Kalemani alimpigia simu mkewe akimtaka kuwapa Polisi ushirikiano wa kuondoa kamera

Lema: Waziri Kalemani alimpigia simu mkewe akimtaka kuwapa Polisi ushirikiano wa kuondoa kamera

Space wataipiga chini sasa hivi ,zoom nayo wanaipiga chini na kuirudisha sometimes!!
 
Leo JPM hayupo, hakuna anayeishi maisha yake. .
20210722_210832.jpg
 
Lema kupitia space anasema

"Waziri Kalemani, alimpigia mke wake simu kwamba polisi wanakuja hapo kuondoa kamera wape ushirikiano, hii ni baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi.." —; Godbless Lema

Natamani kusikia hii Taarifa siyo kweli, natamani kusikia kutoka kwa Mhe. Kalemani. Kama mke aliambiwa atoe ushirikiano means waliomba ushirikiano kwa Kalemani wanafahamika na yeye anawafahamu.

Tunafanya haya kwa sababu yakutafuta Nini hapa Duniani? Vyeo tu au Kuna mengine. Inaumiza Sana pale mapadre, maaskofu na wachungaji wanapojua kwamba waumini wetu wanatembea na dhambi vifuani mwao. Pls natamani niskie full story ya huu ushahidi wa Lema.

Huo ndio ukweli bila chenga.

Cc: misuli, Paskali Mayalla
 
Hata Sabaya aliambiwa na Mbowe safari hii ataozea jela.

Lakini sasa wote watakutana Kisongo
 
Hizo ni chokochoko kama mnadai aliyepanda mpango amekufa basi na kesi imekufa msitusumbue na mambo yaliyokufa.

Kuhusu CCTV kwani anayetakiwa kuzitoa ni Nani? Kwani kinachofanyiwa uchunguzi ni Yale makamera au server?

Ukitafakari vizuri utabaini kwamba endapo washika dau wangepanga Mauaji mambo mengi yasingefanyika wangeweza kumtafuta kwa njia nyingi rahisi kwani hawana woga wa kumshambulia mtu kwa kificho wangemsubiri nyumbani au kwenye ulevi pia CCTV zingerekenishwa mapema.

KILICHOTOKEA Kuna wahusika wasio na utaalamu walifanya tukio kwa maslahi Yao lakini pia serikali kutokana na usumbufu wake wakatekeleza ule usemi wa adui muombee njaa. Ni sawa na wewe ukisikia mchawi wako amepata ajali utakachoweza kufanya ni zaidi ya ajali.
 
Simply aliyemfanyia haya Lissu cha moto anakiona maana walioenda ilikua nikutekeleza order tu, mtoa order aliumwa kimya kimya wakaficha kama walivyowaficha washambuliaji wa Lissu, aliumwa mpaka akafa bila hata dua njema, hii inadhiirisha Mungu yupo na kila jema na baya tunalofanya litahesabiwa na kutunukiwa au kuadhibiwa chaguo ni letu.
Lisu naye atakufa. Kwenye uchahuzi wa 2025 Lissu atakuwa amesha oza kwenye kaburi lake. Nakuahidi.
 
Lema kupitia space anasema

"Waziri Kalemani, alimpigia mke wake simu kwamba polisi wanakuja hapo kuondoa kamera wape ushirikiano, hii ni baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi.." —; Godbless Lema

Natamani kusikia hii Taarifa siyo kweli, natamani kusikia kutoka kwa Mhe. Kalemani. Kama mke aliambiwa atoe ushirikiano means waliomba ushirikiano kwa Kalemani wanafahamika na yeye anawafahamu.

Tunafanya haya kwa sababu yakutafuta Nini hapa Duniani? Vyeo tu au Kuna mengine. Inaumiza Sana pale mapadre, maaskofu na wachungaji wanapojua kwamba waumini wetu wanatembea na dhambi vifuani mwao. Pls natamani niskie full story ya huu ushahidi wa Lema.
Ndiyo maana waliofanya ushenzi huu washaanza kufa mmoja baada ya mwingine. Na bado!
 
Back
Top Bottom