Lemma anajua uchaguzi unafanyika leo Arusha, na anatakiwa akabidhi ofisi, kwa nini amekimbilia Canada bila kukabidhi ofisi? Ana chuki na aliyeshinda?

Lemma anajua uchaguzi unafanyika leo Arusha, na anatakiwa akabidhi ofisi, kwa nini amekimbilia Canada bila kukabidhi ofisi? Ana chuki na aliyeshinda?

Anahofia hadhi ya ukimbizi itafutwa akikaa huku muda mrefu
Ni aibu sana, mtu kuona sifa kwa kupata hadhi ya ukimbizi huku kwa kutokujua watoto wake au yeye mwenyewe wanaweza kutumika katika majaribio ya kibailojia ama kikemia dhidi ya nchi alipozaliwa,; na haya huwenda yakanywa na nchi mtu huyo alipokimbilia!!! Huu ni ubinafsi uliopitiliza na hauvumiliki
 
Back
Top Bottom