William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Kumbe nawe unajua yule jamaa jina lake bashite hahahah ila akisimama kwa watu anajiita makonda [emoji23][emoji23][emoji23] mwambie kolomije tunamsalimia aje na misibani asiwe anakomea mjini tu anatuma watu
Ushahidi upi jamaa angu wakati mademu zako ndo wanaosema kuna una kinyanyachungu- Nilitoa nafasi kwa yoyote anayeamini huo upuuzi kama ni mwanamke aje au atume mke wake hakuna aliyejitokeza maana ndio tungekata mzizi wa fitina
le Mutuz
kidogo awe mbunge wa Afrika ya masharikiHivi huyu jamaa amekoswakoswa vipi na teuzi zote zile!!
Tukiingia vitani itabidi tumweke mstari wa mbele hata risasi zitamkosa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kidogo awe mbunge wa Afrika ya mashariki
Wewe housegirl wa bashite lissu tena kaingiaje hapa... muache mpendwa wetu wauguze majeraha yake apone mapema nyie endeleeni kusagana tu- sema wewe ni mke wa Lissu sasa unadhani wote ni kama wewe hahahahaha
le Mutuz
Nakukubali sana Lemutuz maana majibu yako inaonesha you're positive thinker. Maana hupaniki na maswali. Bravo!!!- kama kutoa ajira kwa vijana ni matatizo ya umri sure nakubali thank you!
le Mutuz
KUM
KUMBE ILIKUWA YA DAVIS MOSHA ALIVYOKUWA ANAIPIGIA CHAPUO NIKAJUA ANA UBIA KWENYE ILE TV STATION
Yan ww hutaja olewa tenayule binti yako anakuja lini bongo? halafu namjua jamaa anaetembea na mkeo .yule mkurya handsome kweli lazima upigwe chini ndugu yangu
Si hua anasemaga ni Mali yake!!!
Naona umecoment like polepole.- Sijakuelewa kila wakati unapenda sana kunizushia uongo na majungu vipi wewe ni kaka wa my ex nini maana hao ndio wanahangaika kila siku kunitungia uongo uongo, WHY?
- Mbona kuna mambo mengi ya maana kwa jamii nayafanya huyasemi? Like now nimeshafungua my Online TV nimetoa ajira kwa vijana 8 toka mtaani, mbona usiandike mambo ya msingi kama haya?
le Mutuz
Mkuu kwenye suala la quality na status ya followers most of your followers are FOOLS and that's why ukiandika upuuzi mfano wa kumsifia Bashite wanakushangilia tu...!!- page yangu ina followers 500K huenda inaongoza kwa malipo ya matangazo, tatizo sio followers wengi ila ni quality na status ya wanaokufollow
le Mutuz
Watz watu waajabu snWabongo Bwana sijui mpoje.Angekuwa anaendesha HAMMER mngesema aliiba hela za watanzania kupitia cheo cha Baba yake.AMEKUWA MZALENDO KWA KUJITAFUTIA KIDOGO KWA NGUVU ZAKE MWENYEWE MNAMTUKANA.RZ1 MMEMPIGIA KELELE SANA MKASEMA HELA KATOA WAPI.KIJANA WA LOWASA ANAFANYA BIASHARA, MAKAMBA WAZIRI, WA MWINYI WAZIRI,HUYU WA MALECELA AMECHAGUA Online TV na usafiri wake ni NOAH.sasa shida ipo wapi?
Mkurugenzi,mheshimiwa sana,naomba kazi kwenye kampuni yako,baba uliyekaribu na waridi la benk kuu,ahsante sana baba le MUTUZ- ndio kwanza tumeanza hatuna haraka maana hawaji mbio mbio kazi kwanza, tayari tuna sponsors so hatuna haraka
le Mutuz
Hivi yule kahaba mange anakitu gani chakumshinda huyu lemutuz?Acheni ushabiki maandazi nyieHumwezi wala huwezi kulingana nae umekaa ughaibuni maisha yamekushinda umerudi bongo unaanza kuwa mnusa makalio ua wanaume wenzako shame on u,..... sijui kwanini hata hawakuambii
UNA UHAKIKA HANA LOLOTE! HAO WANAOJIPENDEKEZA KUTAKA KUPIGA NAO PICHA JE!!!Hana lolote.
- Kwenye haya matusi unakosea sana maana sasa unamkumbusha Mange aliyofanyiwa marehemu Baba yake, imagine wewe mtu akukumbushe mabaya aliyofanyiwa baba yako ambaye ni marehemu?
le Mutuz
- hahahahahahaa mbona unawataja wababe wa vita tena? hahahahahaha
le Mutuz
- Sawa ila ninasema cha msingi ni kulekezea hayo matusi kwa muhusika yaani Mange ambaye baba yake marehemu ndiye aliyefanyiwa na mashahidi wapo, au nakosea?
le Mutuz
View attachment 607034
Hii ndio kazi unayoweza hahahahahahah kweli wewe ni le mup........zzzz kupiga picha kwenye gari za wanaume
wenzako hahahahaha
Pitty
Uje na Kinoah chako upite Hapa Bamaga Nikupatie hata lita 5 za mafuta hahahahahahahahaha
Hivi lemutuz na Mange mlitofautiana kitu gani maana imekuwa vita Kali na naona siku hizi hata Mange akiwa team kiba lemutuz team mond. Saizi Mange anamsapoti aslay hutamuona lemutuz akimsapoti aslay
Hivi yule kahaba mange anakitu gani chakumshinda huyu lemutuz?Acheni ushabiki maandazi nyie
Nilikua sitaki ku coment. Ila umenichekesha mnoo. [emoji28] [emoji28]Keeping Up With Le Mutuz...!
Hiyo mimba itaingia wakati baba hasimamishi?Mashabiki wa Lemutuz wamemtaka gwiji hilo la mitandao ya kijamii kuwa makini na mrembo Hamisa Mobeto hasa kutokana na tabia yake ya mrembo huyo kutegeshea mimba kwa watu wenye ukwasi kama Lemutuz,huku wakitegemea kupata Rav4 na milioni 5 ya matumizi.
Mashabiki kadhaa walimwambia Lemutuz kuwa makini na Hamisa hasa ikizingatiwa wawili hao kuwa pamoja baada ya Lemutuz kumwagwa na mrembo Nasra International huku Hamisa akimwaga Diamond.