cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,805
Grow up brah wazazi wahusika nini kwa thread hii- Kwenye haya matusi unakosea sana maana sasa unamkumbusha Mange aliyofanyiwa marehemu Baba yake, imagine wewe mtu akukumbushe mabaya aliyofanyiwa baba yako ambaye ni marehemu?
le Mutuz
Hivi Nasra si alikukana wewe kua hajawahi Ku date nawe!? Alafu ukiwa mtu mzima usiwe muongo muongo kama uwezo wako hafifu wewe bora ukae kimya tu hakuna haja ya kujitapa tapa upumbavu na zile "you know zako". Hivi kwann hujifunzi kwa vijana wadogo kama kina Ridhiwan wewe au kina Fred Lowasa!? Unamtia aibu mzee Malecela- hahahahahahaha kwanza sijaaachana na Baby wangu Nasra, na pili hizo picha ni za miaka 3 iliyopita sijaonana na Hamisa toka Mwaka jana mara ya mwisho tulikutana Fish Market kabla hata hajawa mjamizto, sijamuona tena so guys mpuuzieni huyu jamaa na huu udaku!
le Mutuz
najua ulipewa talaka .mkeo alichukuliwa na kitu kizuuri cha ukweli.chezea mkurya wewe. nasikia ulikimbia child support marekani
[emoji23] [emoji23] [emoji23]- Uongo ukiandikwa sana unageuka kuwa ukweli, so unakubali kwamba unashangilia uongo unaoujua kuwa ni uongo na wewe great thinker? Kuhusu Nasra ungetulia tu hujui anything ungejali maisha yako au unataka nikuoe wewe?
le Mutuz
Hivi Nasra si alikukana wewe kua hajawahi Ku date nawe!? Alafu ukiwa mtu mzima usiwe muongo muongo kama uwezo wako hafifu wewe bora ukae kimya tu hakuna haja ya kujitapa tapa upumbavu na zile "you know zako". Hivi kwann hujifunzi kwa vijana wadogo kama kina Ridhiwan wewe au kina Fred Lowasa!? Unamtia aibu mzee Malecela
Jaribu kutulia mzee, hilo swali ulilojibu sikulielekeza kwako, nimemuuliza unprejudiced au ndio wewe?- ninalo gari la Super Noah kwani wewe una gari gani na linahusu nini hasa hapa?
le Mutuz
Grow up brah wazazi wahusika nini kwa thread hii
inaleta ukakasi
uzee huuu mashavu yanashuka kwa uzee still so childish
pitty
Jaribu kutulia mzee, hilo swali ulilojibu sikulielekeza kwako, nimemuuliza unprejudiced au ndio wewe?
- hahahha ndiye matusi yanamuhusu hahahahahha imekuuma i can tell
le Mutuz
Mange atakua kakutatua hasaaaa coz amekukaa kichwani,kiufupi amekuexpose sana- Kwenye haya matusi unakosea sana maana sasa unamkumbusha Mange aliyofanyiwa marehemu Baba yake, imagine wewe mtu akukumbushe mabaya aliyofanyiwa baba yako ambaye ni marehemu?
le Mutuz
Mange atakua kakutatua hasaaaa coz amekukaa kichwani,kiufupi amekuexpose sana
hata mimi ningemind
Nasikia huya anakupiga m**dolzz ili dushe liamke!- hahahahahahaha kwanza sijaaachana na Baby wangu Nasra, na pili hizo picha ni za miaka 3 iliyopita sijaonana na Hamisa toka Mwaka jana mara ya mwisho tulikutana Fish Market kabla hata hajawa mjamizto, sijamuona tena so guys mpuuzieni huyu jamaa na huu udaku!
le Mutuz
Humwezi wala huwezi kulingana nae umekaa ughaibuni maisha yamekushinda umerudi bongo unaanza kuwa mnusa makalio ua wanaume wenzako shame on u,..... sijui kwanini hata hawakuambii
wazee wakiki wana ID kibao wanaanzika wenyewe mada na kujijibu wenyeweJaribu kutulia mzee, hilo swali ulilojibu sikulielekeza kwako, nimemuuliza unprejudiced au ndio wewe?
- hahahahah mimi siajiriwi ninajiajiri so hatupo sawa hahahahahaha pole sana
le Mutuz
ahaaaaa le mutuz acha uongo.ila tuache utani le mutuz unajua mi sinaga shida na wewe hata kidogo kwanza mimi ni mbebes ambae tushawai kupiga picha maeneo flani hivi.- hahahahaha sasa mbona alienda kumbebembeleza Mosha aniombe nimrudie? hahahahah nilimuambia ukipata mamen kama mimi in your life niambie nikulipie harusi chezeya mgogo wewe hahaha, sasa nakula maisha tu wabebezzz kibao U know
le Mutuz
Povu la nini mdogo wangu, yaani unatembelea gari la mil 10 halafu kimada umnunulie gari la mil 20 inawezekana hiyo?Utoto na wivu. Kutembelea Noah ndo Mtu ashindwe kumnunulia Mtu hata Porsche. Inategemea na Interests wewe na mimi hatuwezi kuzungumzia uwezo Wa mtu ambaye sie Sisi. So zip up. Afu na mtoa mada kumwagwa Au kumwaga we utajuaje. Ushoga ndo mana haushi. Kuingilia vitu tu havikuhusu mtaoelewa
Tena nyeusiahonge RV4 wakati mwenyewe anatembelea Noah
Ki Tv kimebuma, hakina mvuto hovyo kabisa...umejaribu kukipigia promo lakini wala hakuna anayekielewa!- Sijakuelewa kila wakati unapenda sana kunizushia uongo na majungu vipi wewe ni kaka wa my ex nini maana hao ndio wanahangaika kila siku kunitungia uongo uongo, WHY?
- Mbona kuna mambo mengi ya maana kwa jamii nayafanya huyasemi? Like now nimeshafungua my Online TV nimetoa ajira kwa vijana 8 toka mtaani, mbona usiandike mambo ya msingi kama haya?
le Mutuz