Lemutuz aombwa kuwa makini na Hamisa Mobetto.

Lemutuz aombwa kuwa makini na Hamisa Mobetto.

Status
Not open for further replies.
- Kwenye haya matusi unakosea sana maana sasa unamkumbusha Mange aliyofanyiwa marehemu Baba yake, imagine wewe mtu akukumbushe mabaya aliyofanyiwa baba yako ambaye ni marehemu?

le Mutuz
Grow up brah wazazi wahusika nini kwa thread hii

inaleta ukakasi

uzee huuu mashavu yanashuka kwa uzee still so childish

pitty
 
- hahahahahahaha kwanza sijaaachana na Baby wangu Nasra, na pili hizo picha ni za miaka 3 iliyopita sijaonana na Hamisa toka Mwaka jana mara ya mwisho tulikutana Fish Market kabla hata hajawa mjamizto, sijamuona tena so guys mpuuzieni huyu jamaa na huu udaku!

le Mutuz
Hivi Nasra si alikukana wewe kua hajawahi Ku date nawe!? Alafu ukiwa mtu mzima usiwe muongo muongo kama uwezo wako hafifu wewe bora ukae kimya tu hakuna haja ya kujitapa tapa upumbavu na zile "you know zako". Hivi kwann hujifunzi kwa vijana wadogo kama kina Ridhiwan wewe au kina Fred Lowasa!? Unamtia aibu mzee Malecela
 
najua ulipewa talaka .mkeo alichukuliwa na kitu kizuuri cha ukweli.chezea mkurya wewe. nasikia ulikimbia child support marekani

- hahahahaha sasa mbona alienda kumbebembeleza Mosha aniombe nimrudie? hahahahah nilimuambia ukipata mamen kama mimi in your life niambie nikulipie harusi chezeya mgogo wewe hahaha, sasa nakula maisha tu wabebezzz kibao U know

le Mutuz
 
- Uongo ukiandikwa sana unageuka kuwa ukweli, so unakubali kwamba unashangilia uongo unaoujua kuwa ni uongo na wewe great thinker? Kuhusu Nasra ungetulia tu hujui anything ungejali maisha yako au unataka nikuoe wewe?

le Mutuz
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi Nasra si alikukana wewe kua hajawahi Ku date nawe!? Alafu ukiwa mtu mzima usiwe muongo muongo kama uwezo wako hafifu wewe bora ukae kimya tu hakuna haja ya kujitapa tapa upumbavu na zile "you know zako". Hivi kwann hujifunzi kwa vijana wadogo kama kina Ridhiwan wewe au kina Fred Lowasa!? Unamtia aibu mzee Malecela

- labda ungeleta ushahidi wa kunikana, nina maisha yangu tena mazuri sana ya wenfine hayanihusu hahahahahaha

le Mutuz
 
- hahahha ndiye matusi yanamuhusu hahahahahha imekuuma i can tell

le Mutuz

Humwezi wala huwezi kulingana nae umekaa ughaibuni maisha yamekushinda umerudi bongo unaanza kuwa mnusa makalio ua wanaume wenzako shame on u,..... sijui kwanini hata hawakuambii
 
Mange atakua kakutatua hasaaaa coz amekukaa kichwani,kiufupi amekuexpose sana

hata mimi ningemind

- ni kweli kafukua makaburi ya baba yake mwenyewe anajua jinsi anavyowaudhi ndugu zake ambao hawapendi kabisa kusikia hizi habari hahahahaha

le Mutuz
 
- hahahahahahaha kwanza sijaaachana na Baby wangu Nasra, na pili hizo picha ni za miaka 3 iliyopita sijaonana na Hamisa toka Mwaka jana mara ya mwisho tulikutana Fish Market kabla hata hajawa mjamizto, sijamuona tena so guys mpuuzieni huyu jamaa na huu udaku!

le Mutuz
Nasikia huya anakupiga m**dolzz ili dushe liamke!
Na vipi kupandwa, umeacha kushikishwa ukuta?
 
Humwezi wala huwezi kulingana nae umekaa ughaibuni maisha yamekushinda umerudi bongo unaanza kuwa mnusa makalio ua wanaume wenzako shame on u,..... sijui kwanini hata hawakuambii

- hahahahah mimi siajiriwi ninajiajiri so hatupo sawa hahahahahaha pole sana

le Mutuz
 
- hahahahah mimi siajiriwi ninajiajiri so hatupo sawa hahahahahaha pole sana

le Mutuz

Wenye kuajiriwa wakiitwa utatoka? ndio maana unambiwa akili nukta aisee now i believe khaaa nusu nusa tuu ..... hivi huwa ukiwa na na huyo sijui baby sijui nini huwa unadhubutu kuvua nguo? nahisi huwa unamtisha as if ni tembo tarangire khamia kwa room aisee
 
- hahahahaha sasa mbona alienda kumbebembeleza Mosha aniombe nimrudie? hahahahah nilimuambia ukipata mamen kama mimi in your life niambie nikulipie harusi chezeya mgogo wewe hahaha, sasa nakula maisha tu wabebezzz kibao U know

le Mutuz
ahaaaaa le mutuz acha uongo.ila tuache utani le mutuz unajua mi sinaga shida na wewe hata kidogo kwanza mimi ni mbebes ambae tushawai kupiga picha maeneo flani hivi.
yule mkeo nae alikosea sana kumdate yule jamaa.yule jamaa nae alikuwa na wife mzuri tu sijui waliachana kwanini.nilijua tu atamfuja mama watoto wako asepe.
 
Utoto na wivu. Kutembelea Noah ndo Mtu ashindwe kumnunulia Mtu hata Porsche. Inategemea na Interests wewe na mimi hatuwezi kuzungumzia uwezo Wa mtu ambaye sie Sisi. So zip up. Afu na mtoa mada kumwagwa Au kumwaga we utajuaje. Ushoga ndo mana haushi. Kuingilia vitu tu havikuhusu mtaoelewa
Povu la nini mdogo wangu, yaani unatembelea gari la mil 10 halafu kimada umnunulie gari la mil 20 inawezekana hiyo?
 
- Sijakuelewa kila wakati unapenda sana kunizushia uongo na majungu vipi wewe ni kaka wa my ex nini maana hao ndio wanahangaika kila siku kunitungia uongo uongo, WHY?

- Mbona kuna mambo mengi ya maana kwa jamii nayafanya huyasemi? Like now nimeshafungua my Online TV nimetoa ajira kwa vijana 8 toka mtaani, mbona usiandike mambo ya msingi kama haya?

le Mutuz
Ki Tv kimebuma, hakina mvuto hovyo kabisa...umejaribu kukipigia promo lakini wala hakuna anayekielewa!
Hayo ya online waachie akina global.

Soon utauza mpaka extension za umeme!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom