cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,805
Grow up brah wazazi wahusika nini kwa thread hii- Kwenye haya matusi unakosea sana maana sasa unamkumbusha Mange aliyofanyiwa marehemu Baba yake, imagine wewe mtu akukumbushe mabaya aliyofanyiwa baba yako ambaye ni marehemu?
le Mutuz
inaleta ukakasi
uzee huuu mashavu yanashuka kwa uzee still so childish
pitty