Ni maisha aliyoamuwa kuishi, naomba tuheshimu choice za wenzetu.
mkuu umenifanya nicheke sana hilo jina la mwisho:A S wink:Huko Instagram hapatoshi. Ni mapambano makali kati ya Lemutuz na Teams mbalimbali. @ WILLIAM MALECELA huoni kama hivyo vita vya panya unavyo pambana, vitakuharibia kwenye mbio zako za kugombea ubunge wa jimbo la Mtera mwaka 2015. Kuna jamaa huko Insta anajiita " SHATI LA LEMUTUZ LINATOSHA KUFUNIKA STARLET".
nimekwambia piga nae picha tu kwani mume umeanza kulea wewe ?
mama Wema sepetu naye anajua kulea mume..kwikwikwi...kamlea mumewe miezi mitatu!!!!!!
huna lolote ushamba tu
unakusumbua,kama una hasira mfate le mutuz kwenye blog yake,huku kila
mchango wako lazima utangaze uko denmark,inatuhusu nini? Na kama
mmechoka msiambiwe? Unatupa kichefuchefu na kizunguzungu,huna hata
aibu.
una maumiv makal Sn.
Jikaze 2. Bado kijana mdogo @25 tu nakamata hela kichiz ma'am maee. Mimi
ni mtu kati ya watu anayeishi na watu na aliyeona watu. This my last
post in JF as Mufti lion.
suala sio
jina tu,na hashuo zako hizo.hata ukija na ID nyingine ukianza upuuzi wa denmark utakula za uso tu.
asante sana ni za uso
ulizonipa ndio zimenibalisha niwe nan izam. Have the good gesture of
Tanzania to forgive and forget. Kwenye id yang mpya ntakuwa na mipaka
nikipost
Natafuta kiwanja cha
kujenga makazi ya kuishi.
Bajeti yangu ni Tsh. 15 milioni
Sifa za kiwanja.
1. Kiwe kimepimwa na kina hati miliki na kisiwe na mgogoro wowote.
2. Kiwe mahala ambapo watu wameshaanza kujenga na- kuna huduma za
kijamii, kama, maji na umeme.
3. Kisipungue ukubwa wa sqm 1000.
Maeneo ninayopenda zaidi.
1. Tabata, Wazo hill, Pugu, Kigamboni, Kibada, Toangoma, Kimara, mbezi,
chanika, Ukonga, Goba
Mbeni,na maeneo mengine mazuri.
Email yangu ni woowtv@live.co.uk
NB.
Ningefurahi kama ningepata cha ukubwa wa sqm 1200 au zaidi, ninaweza
kuongeza pesa kama- nitalidhika na kiwanja na mahala kilipo.
ASANTENI.
she????????
Ni maisha aliyoamuwa kuishi, naomba tuheshimu choice za wenzetu.