Lemutuz na instagram

Lemutuz na instagram

Status
Not open for further replies.
Huko Instagram hapatoshi. Ni mapambano makali kati ya Lemutuz na Teams mbalimbali. @ WILLIAM MALECELA huoni kama hivyo vita vya panya unavyo pambana, vitakuharibia kwenye mbio zako za kugombea ubunge wa jimbo la Mtera mwaka 2015. Kuna jamaa huko Insta anajiita " SHATI LA LEMUTUZ LINATOSHA KUFUNIKA STARLET".
mkuu umenifanya nicheke sana hilo jina la mwisho:A S wink:
 
enzi za ujana wake hakukua na IG,FB wala twetter ushamba ndio unamsumbua kubwa jinga yulee
 
na ile nyayapensi yake inatosha kufunika nini?hahahahahaha le mutuz kwa kweli kakosa kazi
 
Huyu babu Le Mutuz hana hata habari hata mumpige madongo ,yeye atakuja kujisifia kuwa mnacheza ngoma yake.
 
mama Wema sepetu naye anajua kulea mume..kwikwikwi...kamlea mumewe miezi mitatu!!!!!!

Ahahahahaaaa. KAma namuona vlee,"miezi mitatu hadi kanifia mkononi, wao wanaweza?" Timu wema "hapana mama"
Mama anamambo huyu
 
Natafuta kiwanja cha kujenga makazi ya kuishi.
Bajeti yangu ni Tsh. 15 milioni

Sifa za kiwanja.
1. Kiwe kimepimwa na kina hati miliki na kisiwe na mgogoro wowote.
2. Kiwe mahala ambapo watu wameshaanza kujenga na- kuna huduma za kijamii, kama, maji na umeme.
3. Kisipungue ukubwa wa sqm 1000.

Maeneo ninayopenda zaidi.
1. Tabata, Wazo hill, Pugu, Kigamboni, Kibada, Toangoma, Kimara, mbezi, chanika, Ukonga, Goba
Mbeni,na maeneo mengine mazuri.

Email yangu ni woowtv@live.co.uk

NB.
Ningefurahi kama ningepata cha ukubwa wa sqm 1200 au zaidi, ninaweza kuongeza pesa kama- nitalidhika na kiwanja na mahala kilipo.


ASANTENI.
 
huna lolote ushamba tu
unakusumbua,kama una hasira mfate le mutuz kwenye blog yake,huku kila
mchango wako lazima utangaze uko denmark,inatuhusu nini? Na kama
mmechoka msiambiwe? Unatupa kichefuchefu na kizunguzungu,huna hata
aibu.

Hivi mtu kusema yuko Denmark ni kitu cha ajabu sana? Kwa hiyo inapendeza zaidi akisema yuko Mbeya, Singida, Mtongani, Mikocheni, Msasani, Mbagala au Magomeni?
Nadhani unatakiwa kujichunguza kwanza uelewe kwanini unamchukia jamaa akisema aliko, itakusaidia kumjua mshamba ni nani. Denmark ni sehemu tu kama zilivyo nyingine, sema watu tuna asili ya kuvichukia vitu tunavyodhani ni vikubwa sana kwetu na hasa pale tunapodhani hatuwezi kuvipata.
 
una maumiv makal Sn.
Jikaze 2. Bado kijana mdogo @25 tu nakamata hela kichiz ma'am maee. Mimi
ni mtu kati ya watu anayeishi na watu na aliyeona watu. This my last
post in JF as Mufti lion.

Wewe nawe huna la kufanya, unasumbuka na watu walio na frustration? Europe ni nini kwani mpaka mtu atokwe na misuli ya shingo kwa kusakama watu walio huko?
 
suala sio
jina tu,na hashuo zako hizo.hata ukija na ID nyingine ukianza upuuzi wa denmark utakula za uso tu.

Unahitaji msaada! Una maumivu makali sana! Yaani bwanamdogo kusema yuko Denmark kunataka kukuletea vidonda vya tumbo? Yeye anajieleza tu, anavyohangaikia maisha na mafanikio yake! Kina Mange wanaojipost kwenye net kwa kila kitu wanachofanya, hata kununua vocha utawasemaje kama huyu tu anakutoa roho? Ulaya ni sehemu ya kawaida tu! Pitia thread za watu humu, wapo waliozunguka karibu nchi zote za dunia, na tunawachukulia kawaida tu na tunajifunza kupitia wao. Sisi wengine tumekutana na watu walio huko Ulaya kupitia humu humu jamvini na tumefanya nao biashara na mpaka sasa tunashughulika nao, kama tungeendekeza ujuaji kama wako tungekuwa tunazisikia tu hizo nafasi.
 
Natafuta kiwanja cha kujenga makazi ya kuishi.
Bajeti yangu ni Tsh. 15 milioni

Sifa za kiwanja.
1. Kiwe kimepimwa na kina hati miliki na kisiwe na mgogoro wowote.
2. Kiwe mahala ambapo watu wameshaanza kujenga na- kuna huduma za kijamii, kama, maji na umeme.
3. Kisipungue ukubwa wa sqm 1000.

Maeneo ninayopenda zaidi.
1. Tabata, Wazo hill, Pugu, Kigamboni, Kibada, Toangoma, Kimara, mbezi, chanika, Ukonga, Goba
Mbeni,na maeneo mengine mazuri.

Email yangu ni woowtv@live.co.uk

NB.
Ningefurahi kama ningepata cha ukubwa wa sqm 1200 au zaidi, ninaweza kuongeza pesa kama- nitalidhika na kiwanja na mahala kilipo.


ASANTENI.
 
asante sana ni za uso
ulizonipa ndio zimenibalisha niwe nan izam. Have the good gesture of
Tanzania to forgive and forget. Kwenye id yang mpya ntakuwa na mipaka
nikipost

Dogo acha utoto, uache ID yako kwa sababu ya mtu mmoja mwenye negative thinking? Anzisha thread kabisa tena nasuggest na kichwa cha habari, " Maisha yangu ughaibuni". Wengine tunapenda kujua maisha yalivyo huko, achana na watu wenye mawazo mgando!
 
Natafuta kiwanja cha
kujenga makazi ya kuishi.
Bajeti yangu ni Tsh. 15 milioni

Sifa za kiwanja.
1. Kiwe kimepimwa na kina hati miliki na kisiwe na mgogoro wowote.
2. Kiwe mahala ambapo watu wameshaanza kujenga na- kuna huduma za
kijamii, kama, maji na umeme.
3. Kisipungue ukubwa wa sqm 1000.

Maeneo ninayopenda zaidi.
1. Tabata, Wazo hill, Pugu, Kigamboni, Kibada, Toangoma, Kimara, mbezi,
chanika, Ukonga, Goba
Mbeni,na maeneo mengine mazuri.

Email yangu ni woowtv@live.co.uk

NB.
Ningefurahi kama ningepata cha ukubwa wa sqm 1200 au zaidi, ninaweza
kuongeza pesa kama- nitalidhika na kiwanja na mahala kilipo.


ASANTENI.

Ninavyo Kigamboni Mwasonga Vina offer na Gezaulole, Ni PM namba yako.
 
Ni maisha aliyoamuwa kuishi, naomba tuheshimu choice za wenzetu.

All that matters Ana make money siyo headlines za Instagram
Kuna wengine humu wana mambo ya kitoto sana(over grown babies) ila hatuwafuatilii coz hatuwajui,hawako kwenye spot light
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom