Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Hahahaha wasomi wenzako? Hahaha nani alikwambia kuna wasomi wenzako humu JF? Nini kilikufanya ufikirie una wasomi WENZAKO humu? Kwani siku hizi uki apply membership JF unatuma CV? Naomba nijulishwe maana mimi wa zamani kidogo.
Halaf kwani msomi wewe umesoma mpaka la ngapi mwenzetu?
Eti shati la le mutuz linatosha kufunikia nini vile...!!??
Eneo lake ni mashati kumi ya Le Mutuz
Shosti bora zimetupita tukae kulea tu sasa
Je vimepimwa? Naomba unitumie pics nione plz
Kaka umeongea lugha ngumu!
Je vimepimwa? Naomba unitumie pics nione plz
Hivi mtu kusema yuko Denmark ni kitu cha ajabu sana? Kwa hiyo inapendeza zaidi akisema yuko Mbeya, Singida, Mtongani, Mikocheni, Msasani, Mbagala au Magomeni?
Nadhani unatakiwa kujichunguza kwanza uelewe kwanini unamchukia jamaa akisema aliko, itakusaidia kumjua mshamba ni nani. Denmark ni sehemu tu kama zilivyo nyingine, sema watu tuna asili ya kuvichukia vitu tunavyodhani ni vikubwa sana kwetu na hasa pale tunapodhani hatuwezi kuvipata.
Unahitaji msaada! Una maumivu makali sana! Yaani bwanamdogo kusema yuko Denmark kunataka kukuletea vidonda vya tumbo? Yeye anajieleza tu, anavyohangaikia maisha na mafanikio yake! Kina Mange wanaojipost kwenye net kwa kila kitu wanachofanya, hata kununua vocha utawasemaje kama huyu tu anakutoa roho? Ulaya ni sehemu ya kawaida tu! Pitia thread za watu humu, wapo waliozunguka karibu nchi zote za dunia, na tunawachukulia kawaida tu na tunajifunza kupitia wao. Sisi wengine tumekutana na watu walio huko Ulaya kupitia humu humu jamvini na tumefanya nao biashara na mpaka sasa tunashughulika nao, kama tungeendekeza ujuaji kama wako tungekuwa tunazisikia tu hizo nafasi.
Habar za tunduru!! ulipotelea wapi mbona muda mrefu sijakuona humu???
yes she!! Unafkir nmekosea. SHE IS STUPID... It is she
by Zogwale;
Lemutuz ana miaka.mingapi tafadhali. Kuna kipindi alikuwa 52.
Zogwale, le mbululaz ana miaka sawa na wema sepetunga kwa sasa! mbebez wa ukweeeli..u know!
Tena ninunulie miwani ya mbao ili isiharibike haraka....................ha ha ha ha haNzuri,mi nipo sana mkolaj,nitakununulia miwani unione vizuri best?hahahahaa!
Tena ninunulie miwani ya mbao ili isiharibike haraka....................ha ha ha ha ha
Duuuuh.. Umeua bendi mdukuzi lol..