Lemutuz na instagram

Lemutuz na instagram

Status
Not open for further replies.
Hahahaha wasomi wenzako? Hahaha nani alikwambia kuna wasomi wenzako humu JF? Nini kilikufanya ufikirie una wasomi WENZAKO humu? Kwani siku hizi uki apply membership JF unatuma CV? Naomba nijulishwe maana mimi wa zamani kidogo.

Halaf kwani msomi wewe umesoma mpaka la ngapi mwenzetu?

Labda ana maana ya kuwa member wa JamiiForum ndo usomi wenyewe maana kila kitu kipo humu!
 
Subirini, nimesikia vishindo, naona Lemutuz ndo anakuja
 
Hivi mtu kusema yuko Denmark ni kitu cha ajabu sana? Kwa hiyo inapendeza zaidi akisema yuko Mbeya, Singida, Mtongani, Mikocheni, Msasani, Mbagala au Magomeni?
Nadhani unatakiwa kujichunguza kwanza uelewe kwanini unamchukia jamaa akisema aliko, itakusaidia kumjua mshamba ni nani. Denmark ni sehemu tu kama zilivyo nyingine, sema watu tuna asili ya kuvichukia vitu tunavyodhani ni vikubwa sana kwetu na hasa pale tunapodhani hatuwezi kuvipata.

acha kukurupuka dogo,umefatilia huu uzi na zingine anazochangia au umeamka usingizini?
 
Unahitaji msaada! Una maumivu makali sana! Yaani bwanamdogo kusema yuko Denmark kunataka kukuletea vidonda vya tumbo? Yeye anajieleza tu, anavyohangaikia maisha na mafanikio yake! Kina Mange wanaojipost kwenye net kwa kila kitu wanachofanya, hata kununua vocha utawasemaje kama huyu tu anakutoa roho? Ulaya ni sehemu ya kawaida tu! Pitia thread za watu humu, wapo waliozunguka karibu nchi zote za dunia, na tunawachukulia kawaida tu na tunajifunza kupitia wao. Sisi wengine tumekutana na watu walio huko Ulaya kupitia humu humu jamvini na tumefanya nao biashara na mpaka sasa tunashughulika nao, kama tungeendekeza ujuaji kama wako tungekuwa tunazisikia tu hizo nafasi.

usidandie treni kwa mbele utagongwa.
 
by Zogwale;
Lemutuz ana miaka.mingapi tafadhali. Kuna kipindi alikuwa 52.


Zogwale, le mbululaz ana miaka sawa na wema sepetunga kwa sasa! mbebez wa ukweeeli..u know!
 
Last edited by a moderator:
by Zogwale;
Lemutuz ana miaka.mingapi tafadhali. Kuna kipindi alikuwa 52.


Zogwale, le mbululaz ana miaka sawa na wema sepetunga kwa sasa! mbebez wa ukweeeli..u know!

Mhh watu mna utani jamani.
 
Last edited by a moderator:
Le Mutuz akisema yeye ni star, King of Soacial Networks mnakataa huku mkisahau kwamba haupiti mwezi bila wadau hamjaleta post kuhusu Le Mutuz! For what I know, hakuna mwingine ambae huwa anajadiliwa sana humu zaidi ya Le Baharia!!! Najua wapo wataosema hamumjadili kwa mazuri bali mnam-dis... kama ndivyo mbona hamumjadili Baba ake Dully Syke ambae ni mkubwaa ( and in fact, ni mzee) kuliko Le Mutuz lakini mambo yake ni kama Le Mutuz!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom