Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Hahahaha wasomi wenzako? Hahaha nani alikwambia kuna wasomi wenzako humu JF? Nini kilikufanya ufikirie una wasomi WENZAKO humu? Kwani siku hizi uki apply membership JF unatuma CV? Naomba nijulishwe maana mimi wa zamani kidogo.
Halaf kwani msomi wewe umesoma mpaka la ngapi mwenzetu?
Labda ana maana ya kuwa member wa JamiiForum ndo usomi wenyewe maana kila kitu kipo humu!