Hii ndio ccm ninayo ijua mm. Ss kakitumikie chama ukiwa nje ya serikali. Mama kanyaga twende unaupiga mwingi
 
Hivi Deo Mwanyika mbunge wa Njombe hakuwahi kuitiwa hatiani na mahakama katika ile kesi ya Makinikia akiwa makamu wa Rais wa Acacia?
 
Ni kweli mkuu lakini kwenye sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai kf no 194 Act R.E 2022 kuendelea wameorothesha makosa ambayo hayana ple bargaining soma utaelewa mkuu
 
Lilikuwa ni suala la muda tu.
Lakini kasota kiaina
 
Hivi Deo Mwanyika mbunge wa Njombe hakuwahi kuitiwa hatiani na mahakama katika ile kesi ya Makinikia akiwa makamu wa Rais wa Acacia?
Huyo bagamoyo hana akili. Mbowe mwenyewe alitiwa hatiani
 
Hapo hata mm sijaridhika. Lkn nadhani kesi bado inaendelea kaachiwa kwa maana ya kupewa dhamana baada ya makosa ya uhujumu uchumi kufutwa ambayo kisheria hayana dhamana. Kinyume na hapo itakuwa ni dhuluma kwa waathirika.
Mbakaji wenu yupo mtaani andaeni vijambio hivyo
 
Uko sahihi mkuu. Kesi bado inaendelea kaachiwa kwa maana ya kupewa dhamana baada ya makosa ya uhujumu uchumi kufutwa ambayo kisheria hayana dhamana.

Sasa wasioujua kusoma na wakrupukaji wanapotosha.
Endelea kujifariji
 
Wakili msomi amesema Lengai Ole Sabaya baada ya kuachiwa huru na mahakama ,sasa kisheria yuko huru kugombea na kushinda kuwa mbunge wa Hai au kuteuliwa kuwa kiongozi yoyote.
Sabaya kisheria hana kikwazo chochote cha kuwa kiongozi.
 
tunaomba ateuliwe awe mkuu wa mkoa kwa DSM kwa kuanzia huku akiandaliwa kuwa Waziri Mkuu 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…