Ya Sabaya na enzi za Magufuli yanaeleweka. Walioporwa mali zao na kunyanyaswa hata kupigwa vibao na Sabaya akiwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro ni wengi na bado wanaganga maumivu na hasara zao.

Leo baada ya kesi ya takribani miaka miwili Sabaya anaachiwa huru na mahakama?! Najiuliza ni mhalifu yupi serikalini atafungwa kwa uhalifu wake?

Inaonekana jela ni kwa ajili ya wezi wa kuku na vitunguu na sio kwa mafisadi wakubwa waliosababisha hasara na upotevu wa matrilioni!

This is what they call the culture of impunity. Naelewa sasa kwanini rais Samia anabaki kutukana tu stupid, pumbavu,…
 
For any one who believes kuna mahakama huru Tanzania, anapaswa akapimwe.this country is rotten to the core...I am not here to argue kama Ole Sabaya ana hatia au la,lakini ebu imagine kuishi kwenye nchi ambayo unaweza ukafungwa muda wowote kwa kosa lolote na wenye mamlaka.. Au mamlaka ikamwaachia mfungwa yoyote mwenye kosa lolote akarudi uraiani.

Yani so called 'child predators' waliopewa kifungo cha maisha waliachiwa awamu iliyopita, 'waporaji/majambazi' kama Sabaya wanafungwa vifungo vya nje, 'magaidi' kama kina Mbowe wanafunguliwa kesi na kusamehewa na kurudi kwenye majukwaa ya siasa kimasikhara, 'mafisadi' wanapewa adhabu za kufagia hospitali baada ya kusamehe Kodi za serikali Bil. 12,huku wezi wa Kuku wakifungwa miaka 3+...what is what?

Hawa jamaa wanatengeneza narrative Kila siku wakijua zile za nyuma tushasahau..alafu mijitu inasema katiba mpya ndio suluhisho..Suluhisho Gani wakati itaendelea kusimamiwa na judicial system ileile.
Tuendelee kuimba bia tamu..anyway silaumu Sana ,our average iq is 71
 
Huku ndio kuachiwa huru kwenyewe sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…