Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Bwashee mshauri Saa Mbaya ajipoteze tu kama Bashite. Hana ramani tena kwenye siasa ashukuru tu Mungu saivi nyapara hampapasi tena kalio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana sifa za kuwa kiongozi kwwnye ngazi yoyote ya Serikali wala Taasisi za UmmaHili halina akili hapo limeptoka kwa plea bargain na ni mfungwa wa nje kwa mwamzima..anaanza kutonesha vidonda .
DaaahHatariiiiiiiView attachment 2577695
Mke wake leo lazima ateteme kama mayeleAkachape mzigo leo
Hata Mbowe aliachiwa!Ya Sabaya na enzi za Magufuli yanaeleweka. Walioporwa mali zao na kunyanyaswa hata kupigwa vibao na Sabaya akiwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro ni wengi na bado wanaganga maumivu na hasara zao.
Leo baada ya kesi ya takribani miaka miwili Sabaya anaachiwa huru na mahakama?! Najiuliza ni mhalifu yupi serikalini atafungwa kwa uhalifu wake?
Inaonekana jela ni kwa ajili ya wezi wa kuku na vitunguu na sio kwa mafisadi wakubwa waliosababisha hasara na upotevu wa matrilioni!
This is what they call the culture of impunity. Naelewa sasa kwanini rais Samia anabaki kutukana tu stupid, pumbavu,…
Kama Kaka Mkubwa kwako nitasimama na wewe!
And you won't see anybody doubts on that, they are busy with SIMBA and Yanga.For any one who believes kuna mahakama huru Tanzania, anapaswa akapimwe.this country is rotten to the core...I am not here to argue kama Ole Sabaya ana hatia au la,lakini ebu imagine kuishi kwenye nchi ambayo unaweza ukafungwa muda wowote kwa kosa lolote na wenye mamlaka.. Au mamlaka ikamwaachia mfungwa yoyote mwenye kosa lolote akarudi uraiani.
Yani so called 'child predators' waliopewa kifungo cha maisha waliachiwa awamu iliyopita, 'waporaji/majambazi' kama Sabaya wanafungwa vifungo vya nje, 'magaidi' kama kina Mbowe wanafunguliwa kesi na kusamehewa na kurudi kwenye majukwaa ya siasa kimasikhara, 'mafisadi' wanapewa adhabu za kufagia hospitali baada ya kusamehe Kodi za serikali Bil. 12,huku wezi wa Kuku wakifungwa miaka 3+...what is what? Hawa jamaa wanatengeneza narrative Kila siku wakijua zile za nyuma tushasahau..alafu mijitu inasema katiba mpya ndio suluhisho..Suluhisho Gani wakati itaendelea kusimamiwa na judicial system ileile.
Tuendelee kuimba bia tamu..anyway silaumu Sana ,our average iq is 71
Kifungo cha nje siyo msamaha!And you won't see anybody doubts on that, they are busy with SIMBA and Yanga.
Kiufupi hakuna mhimili wa mahakama, ni spika tu ya executive ndiyo iliyopo. Rais anashitaki na kusamehe atakavyo bila tatizo.
Kesi zimeishaTukumbuke bado ana kesi nyingine ya ujambazi
Mangapi wewe unamkosea Mungu? Watu hukosea na hutubu wasamehewe Mungu husamehe.Mungu huyo atakuwa mjinga kupambania majangili, wezi, wauwaji.
Sabaya hebu niache kaka.Mangapi wewe unamkosea Mungu? Watu hukosea na hutubu wasamehewe Mungu husamehe.
Tunayaona makosa ya sabaya zaidi kuliko dhuluma zetu tunazozijua na kuzificha vifuani mwetu.
Usimpangie Mungu cha kufanya, hatujui anafahamu nini kuhusu Sabaya.
Labda kama ww ndio mteuzi ila hapa bongo utaskia tu keshapata shavuHana sifa za kuwa kiongozi kwwnye ngazi yoyote ya Serikali wala Taasisi za Umma