Lengai Ole Sabaya aachiwa Huru kwa sharti la kutofanya kosa la Jinai kwa kipindi cha mwaka mmoja
Bwashee mshauri Saa Mbaya ajipoteze tu kama Bashite. Hana ramani tena kwenye siasa ashukuru tu Mungu saivi nyapara hampapasi tena kalio.
 
Ya Sabaya na enzi za Magufuli yanaeleweka. Walioporwa mali zao na kunyanyaswa hata kupigwa vibao na Sabaya akiwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro ni wengi na bado wanaganga maumivu na hasara zao.

Leo baada ya kesi ya takribani miaka miwili Sabaya anaachiwa huru na mahakama?! Najiuliza ni mhalifu yupi serikalini atafungwa kwa uhalifu wake?

Inaonekana jela ni kwa ajili ya wezi wa kuku na vitunguu na sio kwa mafisadi wakubwa waliosababisha hasara na upotevu wa matrilioni!

This is what they call the culture of impunity. Naelewa sasa kwanini rais Samia anabaki kutukana tu stupid, pumbavu,…
Hata Mbowe aliachiwa!
 
Tatizo ni CCM nawaomba ndugu zangu Watanzania tuende kuikataa kwenye Ballot.
 
duh imewauma. Vumilieni tu maana hata gaidi alipoachiwa kuna watu waliumia pia
 
For any one who believes kuna mahakama huru Tanzania, anapaswa akapimwe.this country is rotten to the core...I am not here to argue kama Ole Sabaya ana hatia au la,lakini ebu imagine kuishi kwenye nchi ambayo unaweza ukafungwa muda wowote kwa kosa lolote na wenye mamlaka.. Au mamlaka ikamwaachia mfungwa yoyote mwenye kosa lolote akarudi uraiani.
Yani so called 'child predators' waliopewa kifungo cha maisha waliachiwa awamu iliyopita, 'waporaji/majambazi' kama Sabaya wanafungwa vifungo vya nje, 'magaidi' kama kina Mbowe wanafunguliwa kesi na kusamehewa na kurudi kwenye majukwaa ya siasa kimasikhara, 'mafisadi' wanapewa adhabu za kufagia hospitali baada ya kusamehe Kodi za serikali Bil. 12,huku wezi wa Kuku wakifungwa miaka 3+...what is what? Hawa jamaa wanatengeneza narrative Kila siku wakijua zile za nyuma tushasahau..alafu mijitu inasema katiba mpya ndio suluhisho..Suluhisho Gani wakati itaendelea kusimamiwa na judicial system ileile.
Tuendelee kuimba bia tamu..anyway silaumu Sana ,our average iq is 71
And you won't see anybody doubts on that, they are busy with SIMBA and Yanga.

Kiufupi hakuna mhimili wa mahakama, ni spika tu ya executive ndiyo iliyopo. Rais anashitaki na kusamehe atakavyo bila tatizo.
 
And you won't see anybody doubts on that, they are busy with SIMBA and Yanga.

Kiufupi hakuna mhimili wa mahakama, ni spika tu ya executive ndiyo iliyopo. Rais anashitaki na kusamehe atakavyo bila tatizo.
Kifungo cha nje siyo msamaha!
 
Sitashangaa kumsikia Bwana mdogo naye akianza kumkandia Hayati JPM, na kugeukia kumsifia anayeupiga mwingi hadi unamwagika!
Life is not fair sometimes!
 
Back
Top Bottom