Ni Aliyewahi kuwa mkuu wa wilaya ya Hai Ole Sabaya ameachiwa huru.

Nimepata taarifa kutoka huko alipoachiwa.

Taarifa kamili baadaye sababu aliyenipa hii yupo kwenye shangwe...

=========================
Kwa upande wa pili, Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu amerejea tena nyumbani.
 
Ni Aliyewahi kuwa mkuu wa wilaya ya Hai Ole Sabaya ameachiwa huru.

Nimepata taarifa kutoka huko alipoachiwa.

Taarifa kamili baadaye sababu aliyenipa hii yupo kwenye shangwe...
Agudishwe kwenye wilaya na kupewa stahiki zake zote na mishahara ikiwemo
 
Acha arudi tu, mali walizozichukua zinatosha kama adhabu kwake
 
Duh, at last.
Lesson learnt the hard way.

Viongozi wengine mjifunze... power is no permanent and is always shifting... just eat your cake and behave.

Ule ujinga aliokuwa anafanya nadhan amepata fundisho maisha yake yote.
Kwani alikuwa na kosa ganii. Kama mbowe aliachiwa huru na ugaidi . Kwani alijifunza nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…