Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Agudishwe kwenye wilaya na kupewa stahiki zake zote na mishahara ikiwemoNi Aliyewahi kuwa mkuu wa wilaya ya Hai Ole Sabaya ameachiwa huru.
Nimepata taarifa kutoka huko alipoachiwa.
Taarifa kamili baadaye sababu aliyenipa hii yupo kwenye shangwe...
Amina Amina AminaaHii ni habari kubwa Sana kwa sisi wapenda maendeleo hapa HAI
kamala kilichomleta ni masuala ya machoko tu sio wazalendoBila shaka mama Kamala Harris alishinikiza
Acha arudi tu, mali walizozichukua zinatosha kama adhabu kwakeNi Aliyewahi kuwa mkuu wa wilaya ya Hai Ole Sabaya ameachiwa huru.
Nimepata taarifa kutoka huko alipoachiwa.
Taarifa kamili baadaye sababu aliyenipa hii yupo kwenye shangwe...
=========================
Kwa upande wa pili, Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu amerejea tena nyumbani.
Gaidi Mbowe, jambazi Lema??.Mnaachia kibaka?
Kwani alikuwa na kosa ganii. Kama mbowe aliachiwa huru na ugaidi . Kwani alijifunza niniDuh, at last.
Lesson learnt the hard way.
Viongozi wengine mjifunze... power is no permanent and is always shifting... just eat your cake and behave.
Ule ujinga aliokuwa anafanya nadhan amepata fundisho maisha yake yote.
Kwani mbowe naye Yuko makiniii?Awe makini mtaani ni hatari kwake kuliko huko lupango Anaweza kutana na kisasi