Sii ajabu bado wanamuhitaji !!! Let's wait and see !!!
 
Mbowe alipokutwa na kesi ya kujibu alipangua mashitaka?
Waliyaondoa mashtka wao walioyaleta Sasa yéyé c alkuw tayr kwa utetezi?
Vip kuhusu Ile kesi ya akwilina walihukumiwa jela kabisa baadae mahakama kuu ikafutilia mbali hukumu hyo
Hakuna ugaidi WA kukata miti Sawa Lumumba?
 
Hayakuondolewa yalisogezwa mbele baada ya gaidi kuomba alambe asali
 
Serikali wajanja walimzungusha kwwnye kesi Hadi vihela vyote vya wizi vikaisha ndo wakamwachia
 
Sheria haijaongelea habari za kifungo cha jela, bali imesema "Katika kipindi cha miaka 5 kabla ya tarehe ya Uchaguzi Mkuu amepata kuhukumiwa na kupewa adhabu ya kifungo kwa kosa linaloambatana na utovu wa uaminifu au kwa kuvunja Sheria ya maadili ya viongozi wa Umma."
 
Unashangaa nini na upo na gaidi aliachiwa na kulambishwa asali ikulu siku hiyohiyo

USSR
Tuoneshe hukumu ya gaidi tuione hapa! Mwambie makonda asiye gaidi na mbowe gaidi wakaombe visa ya USA Tuone nani mpumbavu
 
Halafu mvuta joint na mwizi wa kuku wanaozea jela

Jambazi Mkuu wa Wilaya anasamehewa ili aje kupumzika na mastupid huku uraiani.
Bora sabaya kashinda kesi,kuliko yule gaidi na muuaji aliye achiliwa kwa utata,
 
Tuoneshe hukumu ya gaidi tuione hapa! Mwambie makonda asiye gaidi na mbowe gaidi wakaombe visa ya USA Tuone nani mpumbavu
Hukumu ya gaidi ilisogezwa mbele siku akiingia rais asiyetoa asali gaidi anarudi mahakamani.
 
Huyu ni wa pili. Kuna zittokabwe mwaka uli alihukumiwa kwa uchochezi akidai Polisi wameua Wanyantuzu na baadaye akasema CAG Professor Assad katekw kumbe yuko madrassa. Akahukumiwa hivi hivi tena siku hiyo alikuwa tayari kanyoa upara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…