Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Hukumu ya gaidi lini?
Ugaidi upi? Ugaidi hewa? Huoni hakimu wa kwanza alijitoa? Hakimu wa sasa kaambiwa mahita kingai waliwafunga pingu saa 24 kila siku huku wakiwapiga kuwalazimisha wakubali ugaidi hewa ugaidi feki
 
Naona moderator wamebadili tittle ya thread na ile breaking news ya kufungwa miaka 30 wameiondoa. !!!!!!!!¡
 
Hizi propaganda mmeanza kujiliwaza ili iweje, pambaneni na hali yenu, Sabaya ni shetani hilo halina ubishi, atubu gerezani, km mnataka kubalance mambo poleni.
Mwenzako akinyolewa, wewe tia maji!! Kipimo hiki cha furaha ya leo, kipimwe vilevile siku Bwana yule atapokabidhiwa 15 yake!
 
CHEZEA KWENGINE ILA UKIINGIA 18 ZA WACHAGA HUTOKI SALAMA,

Mtu unatumia madaraka kivipi kupora mali watu kibabe, kuwakata maskio, n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…