Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ugaidi upi? Ugaidi hewa? Huoni hakimu wa kwanza alijitoa? Hakimu wa sasa kaambiwa mahita kingai waliwafunga pingu saa 24 kila siku huku wakiwapiga kuwalazimisha wakubali ugaidi hewa ugaidi fekiHukumu ya gaidi lini?
Hili ndio lilikuwa kosa la kiufundi alikiuka kiapo.Sabaya alikosea aliposema oparesheni zake zilikubaliwa na wakubwa ( kina jiwe )
pole zake
Mwenzako akinyolewa, wewe tia maji!! Kipimo hiki cha furaha ya leo, kipimwe vilevile siku Bwana yule atapokabidhiwa 15 yake!Hizi propaganda mmeanza kujiliwaza ili iweje, pambaneni na hali yenu, Sabaya ni shetani hilo halina ubishi, atubu gerezani, km mnataka kubalance mambo poleni.
Mkuu alimfanyaje..?Dah hatari ila jamaa alikuwa na kiburi hatari aliniudhi alivyomfanyia Mama Anna
inasemekana Sabaya ataapelekwa kuishi msumbiji mpaka kifungo kiishe ndipo arejeeMiaka 30 washtakiwa wote kwa pamoja? au kila mmoja miaka 30 yaani jumla 90?
Utoto ulikuwa unamsumbua, they were and are still young to hold such positions. Kama ingelikuwa siyo kuwatesa/kuwa na kuwaibia watu, I would pardon him due to his young age!Dah hatari ila jamaa alikuwa na kiburi hatari aliniudhi alivyomfanyia Mama Anna
Huyu naye soon anaokota makopo
Nimendika humu kuwa sijapenda hukumu hii...kuna kitu inalenga.Ilionekana wazi lazima afungwe ili ze Mbowe akichapwa miaka ionekane is fair !
Mama anampa maelekezo kama boss wake sabaya anampandisha anamshusha kwa dharau sanaMkuu alimfanyaje..?
Yesu pekee ndiye Rafiki wa kweli!..Mataga wenzake wamemkimbia.
..Hawamtembelei mahabusu.
..Hawaendi mahakamani kusikiliza kesi yake.