Mkuu kwahiyo ulitaka Sabaya aachiwe ?Mnaposhangilia pia mjiandae hizi kesi zote zipo chini ya TISS Hawa mahakimu hukumu wanaandikiwa.
Ni sawa sababya kufungwa lakini majonzi yatakuwa makubwa Sana kwa Mbowe Kama wafuasi wa chadema hawataingia barabarani.
Inawezekana Mbowe hatutamuona Tena mpaka 2026 Tena kwa dharau ataachiwa kwa msamaha wa Rais.
Eti na mchumba! Kweli katia aibu sana!dah huo utetezi umetoka kweli kwa Sabaya au ni story tu za vijiweni?... kama kweli ametoa utetezi huo basi naweza sema jamaa ni full kilaza aisee na kumbe nje ya mamlaka hana ujanja wowote....fuckin kabisa aisee..
Unapewa nafasi ya kujitetea unaongea upuuzi huo aisee, Elimu yetu inahitaji complete overhaul aisee huyu ni kijana msomi na alikuwa kiongozi mkubwa ngazi ya wilaya aisee anaongea ujinga kama huu kama utetezi wake..bora angekaa kimya tu aiseee..
Huyo mchumba sasa alilipa mahari kwa fedha alizopora kwa MBOWE, sasa amfuate sponsa wake , si alitumwa bhana!Hukumu ya kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekua Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya inasomwa muda huu katika mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha.
Akisoma maelezo ya awali Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, Odira Amworo amesema kati ya mashahidi 11 wa upande wa mashtaka waliotoa ushahidi wao, ambapo ushahidi wa watu 9 umeonekana una mashiko na ushahidi wa watu wawili umetupwa.
Hakimu Amworo amesema kuwa mahakama imejiridhisha kuwa siku ya tukio February 9 mwaka 2021 washtakiwa wote watatu walikua dukani kwa Saad na wote walishiriki kufanya unyang'anyi wa kutumia silaha, kabla ya kumpiga Saad na kumsabanishia majeraha, wakitaka wapewe TZS 100M au mfanyabiashara huyo apewe kesi ya uhujumu uchumi.
Hakimu anasema kwa mujibu wa kifungu cha 201 cha sheria ya makosa ya adhabu, mtu yeyote anayepatikana na hatia ya kutumia silaha kunyang'anya mali ya mtu mwingine, adhabu yake ni kifungo cha miaka 30 jela pamoja na viboko 12 au miaka 30 bila viboko.
Baada ya kusema hayo Sabaya alianguka na kudaiwa kuzimia, hali iliyofanya Hakimu kuahirisha kusoma hukumu hiyo kwa dakika 5. Baadae Sabaya alizinduka na hukumu ikaendelea kusomwa.
Kabla hajataja adhabu, Hakimu amewapa washtakiwa nafasi kujitetea kwa mara ya mwisho, ambapo Sabaya ameomba apunguziwe adhabu kwa sababu anaye mchumba ambaye ameshamtolea mahari na hivyo akihukumiwa miaka mingi atashindwa kumuoa.
Hukumu inaendelea kusomwa. Letz keep waiting.!View attachment 1975366
Kuna siku alimkosakosa binti mmoja msanii usiku wa manane ...kama si ukomavu wa wenye ile hotel kukomaa kumtoa aisee dogo angeliwa mzigo...Sabaya amejitetea kishamba sana Leo, Bado anasema alifanya uovu kwa kuwa Alitumwa na Mamlaka ya uteuzi
Utetezi wa pili anasema ana mchumba, Hivi mchumba ndio anakutuma udharau wananchi
Hivi kuharibu Mashamba, Kupora Mali za watu na kunajisi mabinti ndio mamlaka ilimtuma upuuzi huo
Mambo yamekuwa mambo, Katika hii dunia usimtegemee mwanadamu mwenzako Katika maamuzi
Paul Makonda ajipange, kuna siku na muda watu watataka haki zao
Daud Bashite alimteka MO , msanii Roma, blackmail kuwabambikia kesi za unga watu mbalimbali kuwachukulia mali zao pesa huku akikamata Unga na kuwapa Le mutuz kwenda kuuza South Africa na china, alikwenda Dodoma akiwa na Cyprian Musiba, nyaulingo, Heri kisanduku, Le mutuz na wasiojulikana wakamshambulia Tundu Lisu kwa risasi, kwa kifupi Bashite makonda alitakiwa awe jela mpaka mda huuSabaya amebaka watu na kurekodi video.
Mjinga sana huyu mtoto wa Magufuli.
Bashite yupo Afrika kusini huko kakimbia, arudishwe ashitakiwe amefanya mabaya zaidi ya Sabaya .
Kwahiyo tuwasaidie wanaoenda ulekeo was matatizo badala ya kuwachochea wapotee vizuri.Cheo ni dhamana!
Alimletea dharau ya hali ya juu bosi wake anampa maelekezo yeye sabaya anampandisha anamshusha Kama mademu wanavyofanyaAlomfanyaje? Kwani?toa info kidogo ndg yng
Na alikua CCM mwenye akili na aeleweNasikia hata mshua wake alikuwa mshenzi Kama sabaya
Kama pakiwepo na ushahidi wa wazi wa kumtia hatiani kama ilivyokuwa kwa Sabaya hakuna ambae atalalamika, lakini ikiwa kinyume chake, wapenda haki duniani kote lazima wapige kelele.SASA TAASIS ZIKO HURU KUTOA HUKUMU KWA HAKI, TUNASHUKULU.. ILA PIA KAMA ZIKIFANYA HAKI NA KWA YULE JAMAA BASI TUSIONE NONGWA
... ajabu sana!Kwamba sheria imekuwa hesabu za milinganyo una balansi Ili watu waone kuna haki
We jamaa dishi lako ni aina ya zuku
Roho ya ukatili kama ile inasaidia nini? Sidhani kama alitumwa. Alikuwa anajiipa cheo ambacho wala hakikuwepoSabaya amejitetea kishamba sana Leo, Bado anasema alifanya uovu kwa kuwa Alitumwa na Mamlaka ya uteuzi
Utetezi wa pili anasema ana mchumba, Hivi mchumba ndio anakutuma udharau wananchi
Hivi kuharibu Mashamba, Kupora Mali za watu na kunajisi mabinti ndio mamlaka ilimtuma upuuzi huo
Mambo yamekuwa mambo, Katika hii dunia usimtegemee mwanadamu mwenzako Katika maamuzi
Paul Makonda ajipange, kuna siku na muda watu watataka haki zao
Bado unaota?Hakuna kesi hapo. Kulikuwa na maigizo tu. Mtu kashikiliwa lakini kila mahudhurio ya mahakamani kapaka super black.
Tutasikia ngonjera za maigizo ya sheria na kuambiwa alipe faini maisha yaendelee. Na msihangae baada ya haya yote akateuliwa nafasi nyingine.
Yupo kimya siku hizi hataki hata kukohoa jamaa wasije kumgeukia.Hakika cheo ni dhamana, Bashite nae amulikwe alijisahau sana yule jamaa!
Huna sababu za kumuonea Ole sabaya kwa matendo yake maovu aliyoyafanya. Sidhani kama wewe ndio ungekuwa bwana saad aliyevamiwa na silaha dukani kwake na kuporwa fedha ungekuwa na huruma na huyo jambazi. Halafu kusema kuwa alitumwa na wakubwa zake huo ni upuuzi mwingine ambao hampaswi kuuamini. Kwani si wapo madarakani sasa mbona wasimtoe kama walimtuma? Inauma lakini anastahili kulipia matendo yake.Mbowe anafungwa tuombe tu Mungu na tuendelee kuwepo
Hukumu ya sabaya hii 30 na bado ana kesi nyingine je akiukumiwa Tena 30 maana yake 60 hapa Kuna harufu ya siasa .
Aliokuwa akifaya nao Kazi wamemzunguka na kumtosa!!
Ila nawashauri msije kujaribu kumfunga Mbowe kitanuka street wajeda lazima watakinukisha tu!!
Mungu amjalie mh hakimu kwa kutenda haki. Sabaya hata Lumumba mumteeje alikwa na roho ya shetani hata kama alikuwa anatumwa alitakiwa achanganye na za kwake.