Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Kama pakiwepo na ushahidi wa wazi wa kumtia hatiani kama ilivyokuwa kwa Sabaya hakuna ambae atalalamika, lakini ikiwa kinyume chake, wapenda haki duniani kote lazima wapige kelele.
HUWEZI KUWA NA USHAHIDI WA WAZI WA UGAIDI
 
Na mbowe akilimwa miaka muunge mkono hivihivi, msipige kelele
 
Sabaya amejitetea kishamba sana Leo, Bado anasema alifanya uovu kwa kuwa Alitumwa na Mamlaka ya uteuzi

Utetezi wa pili anasema ana mchumba, Hivi mchumba ndio anakutuma udharau wananchi

Hivi kuharibu Mashamba, Kupora Mali za watu na kunajisi mabinti ndio mamlaka ilimtuma upuuzi huo

Mambo yamekuwa mambo, Katika hii dunia usimtegemee mwanadamu mwenzako Katika maamuzi

Paul Makonda ajipange, kuna siku na muda watu watataka haki zao
Sasa kama alitumwa asiseme, kwani wakati anatenda hayo Mamlaka ya uteuzi iliwahi kukemea? shukuru Mungu mwendakuzimu kafa angekuwa hai Sabaya asingefungwa asilani CCM ijitafakari sana wajue Mungu daima hupenda haki, kwa miaka mingi ccm wamekuwa wadhulumati kibaya zaidi wanadhulum mpaka haki za watu kuishi
 
Hivi ile adhabu ya viboko 12 wakati unaingia na 12 wakati wa kutoka ishafutwa ? Naona hakimu hajaitumia wakati anahitimisha kusoma hukumu.
 
... unajua ikoje? Iko hivi, ugaidi wa Mbowe ni kutaka kuwadhuru "viongozi" wa serkali; na kiongozi wa serikali anayetajwa kutaka kudhuriwa na "gaidi" Mbowe ni Ole Sabaya ambaye mahakama leo imeuthibitishia ulimwengu kwamba ni JAMBAZI LILILOKUBUHU na limekatiwa miaka 30 jela!

Sasa najiuliza, ugaidi wa Mbowe ulikuwa kulifanyia ugaidi jambazi tena jambazi lililotumia zana za moto? Jambazi lililojificha kwenye mwamvuli wa ukuu wa wilaya aka DC? Mbowe sio gaidi!
 
SASA TAASIS ZIKO HURU KUTOA HUKUMU KWA HAKI, TUNASHUKULU.. ILA PIA KAMA ZIKIFANYA HAKI NA KWA YULE JAMAA BASI TUSIONE NONGWA
Sasa mbona kesi ya Mbowe haihitaji uwe Wakili Msomi kugundua ni ya kupikwa! Yaani ikitokea akifungwa, basi majibu yako wazi kabisa. Ameonewa!

Tofauti kabisa na uhalifu wa wazi alio ufanya Lengai Ole Sabaya.
 
Mahakama siyo vikao vya CCM wewe fala kama **** ushahidi usio na mashaka kwa mbowe basi mfungeni lakini siyo huo uzushi wenu na propaganda za kisiasa.
Polisiccm hawataweza kumfunga mbowe kwa utengenezaji kesi ya kuwabambikia umejaa walakini mwingi, kwanza tayari imebainika mahita kingai waliwatesa kuwapiga kuwafunga pingu saa 24 kila siku walinzi wa mbowe kisha kuwalazimisha wakubali ugaidi hewa, kesi ya mbowe haifanani na kesi ya Sabaya kwa sababu kesi ya mbowe ni kesi hewa kesi feki ya kutengeneza kwa njia haramu za kishetani
 
Hivi ni kweli Magufuli alikuwa hajui chochote kuhusu uovu wa Sabaya?
Alikua anamkingia kifua. Marehemu ana mghwira angekua hai angesherehekea hii hukumu alidharauliwa sana na Ole sabaya.
 
Mkuu kwahiyo ulitaka Sabaya aachiwe ?


Tumemaliza la Sabaya twende kwa mbowe Sasa

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Si kuachiwa ila hii kesi kwa jicho la tatu Ina siasa ndani yake ili wakija kumfunga Mbowe waseme mbona sabaya alifungwa?

Tuombe tu kesi ya Mbowe mawakili na majaji watende haki!!
 
Hakuna kitu mbaya kama ukatili kwa binadamu wenzako, lazima yatakurudi tu!! Na hatimaye yametimia sasa!
 
Na mbowe akilimwa miaka muunge mkono hivihivi, msipige kelele
Alimwe hiyo miaka kwa kosa gani? Kutafuta walinzi wa kumlinda na wenye sifa alizo zitaka yeye! Au kwa kupitia ule uongo wa mchana wa akina Kingai?
 
Back
Top Bottom