Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie awe makini wakindondosha sabuni huko asiokote..ni mtego.bado gaidi aende jela maisha
Kama hakutumwa kwa nini mamlaka ya uteuzi yaani Mwendakuzimu jiwe alimkalia kimya? akamuacha akatenda uchafu wooote huo? Mara ngapi baadhi ya watendewa wa vitendo wamelalamika na Mwendakuzimu alipuuzia tu?Roho ya ukatili kama ile inasaidia nini? Sidhani kama alitumwa. Alikuwa anajiipa cheo ambacho wala hakikuwepo
Kingai mahita wapo mbioni kumsaidia Sabaya kwenda kuishi msumbiji mpaka mda wa hukumu ukimalizika arejee TanzaniaBado naamini jamaa atatoka.
Kuna watu wanabeba credit for now. ! Tukisahau atarudi mtaani soon.
Hajapona kwa lolote, akijitokeza mtu akadai DAB athibitishe elimu yake mahakamani ni kisanga kingine hiko maana ni kosa kuwa mtumishi wa umma bila kuwa na cheti. ( mimi sijui kama anacho au alifoji jina) ila kwa sifa za DAB angeita press akiwa na vyeti OG. Ukimya wake ni ishara toshaHaki emetendeka, hii iwe fundisho Kwa majambazi wengine.
bashite ameponea chupuchupu
Acha wasiwasi kesi inahukumiwa kwa ushahidi usio na shaka . Kingai na wenzake wameshindwa kutoa ushahidi kuthibitisha madai ya ugaidi dhidi ya Mbowe.Sio kuachiwa ila hii less kwa jicho la tatu Ina siasa ndani yake ili wakija kumfunga Mbowe waseme mbona sabaya alifungwa?
Tuombe tu less ya Mbowe mawakili na majaji watende haki!!
Yule mwendazake kafa na Mengi..!! Angeishi zaidi kuna watu wangeumizwa mno..Indeed mana yule shetani mkubwa kitendo cha kuyanyamazia matendo yake ni dhairi yalikuwa na baraka zake.
Sabaya aliwabaka wanawake wengi hususani wasanii wa bongo movie na mziki akiwemo Nandi anazo kesi zingine za kujibuWatetezi wake wakamkatie rufaa
Ni kweli limeumbuka na ndiyo maana dogo kasema kabisa kwamba alikuwa anatumwa na jambazi Mkuu kutenda hayo.Asante Mama Samia, Jambazi Lililolala kaburini limeumbuka. Mungu azide kukoka Moto huko liliko
Kwanza kingai na mahita waliwatesa kuwapiga walinzi wa mbowe kinyume cha Sheria ambayo inakataza kumwandikisha Maelezo mtuhumiwa baada ya kumpiga kumtesa .Acha wasiwasi kesi inahukumiwa kwa ushahidi usio na shaka . Kingai na wenzake wameshindwa kutoa ushahidi kuthibitisha madai ya ugaidi dhidi ya Mbowe.
Aisee!Tupatieni jina na number ya mchumba wake tutamtunzia ili akitoka tumkabidhi.
Pole yake, 30 si mchezo ..ukisikia kuulia ujana wote jela ndiko huku.