Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,786
- 1,715
Katika sheria hakuna kutumwa kufanya uhalifu.Shenzi kabisa haki ipo wapi hapo, mtu alikuwa anapokea maelezo kutoka juu una muhukumu vipi? Kwa hiyo JPM angekuwa hai angehukumiwa?
Anasema[emoji3][emoji3][emoji3]
HUWEZI KUWA NA USHAHIDI WA WAZI WA UGAIDIKama pakiwepo na ushahidi wa wazi wa kumtia hatiani kama ilivyokuwa kwa Sabaya hakuna ambae atalalamika, lakini ikiwa kinyume chake, wapenda haki duniani kote lazima wapige kelele.
Sasa kama alitumwa asiseme, kwani wakati anatenda hayo Mamlaka ya uteuzi iliwahi kukemea? shukuru Mungu mwendakuzimu kafa angekuwa hai Sabaya asingefungwa asilani CCM ijitafakari sana wajue Mungu daima hupenda haki, kwa miaka mingi ccm wamekuwa wadhulumati kibaya zaidi wanadhulum mpaka haki za watu kuishiSabaya amejitetea kishamba sana Leo, Bado anasema alifanya uovu kwa kuwa Alitumwa na Mamlaka ya uteuzi
Utetezi wa pili anasema ana mchumba, Hivi mchumba ndio anakutuma udharau wananchi
Hivi kuharibu Mashamba, Kupora Mali za watu na kunajisi mabinti ndio mamlaka ilimtuma upuuzi huo
Mambo yamekuwa mambo, Katika hii dunia usimtegemee mwanadamu mwenzako Katika maamuzi
Paul Makonda ajipange, kuna siku na muda watu watataka haki zao
Sasa mbona kesi ya Mbowe haihitaji uwe Wakili Msomi kugundua ni ya kupikwa! Yaani ikitokea akifungwa, basi majibu yako wazi kabisa. Ameonewa!SASA TAASIS ZIKO HURU KUTOA HUKUMU KWA HAKI, TUNASHUKULU.. ILA PIA KAMA ZIKIFANYA HAKI NA KWA YULE JAMAA BASI TUSIONE NONGWA
Polisiccm hawataweza kumfunga mbowe kwa utengenezaji kesi ya kuwabambikia umejaa walakini mwingi, kwanza tayari imebainika mahita kingai waliwatesa kuwapiga kuwafunga pingu saa 24 kila siku walinzi wa mbowe kisha kuwalazimisha wakubali ugaidi hewa, kesi ya mbowe haifanani na kesi ya Sabaya kwa sababu kesi ya mbowe ni kesi hewa kesi feki ya kutengeneza kwa njia haramu za kishetaniMahakama siyo vikao vya CCM wewe fala kama **** ushahidi usio na mashaka kwa mbowe basi mfungeni lakini siyo huo uzushi wenu na propaganda za kisiasa.
Alikua anamkingia kifua. Marehemu ana mghwira angekua hai angesherehekea hii hukumu alidharauliwa sana na Ole sabaya.Hivi ni kweli Magufuli alikuwa hajui chochote kuhusu uovu wa Sabaya?
Si kuachiwa ila hii kesi kwa jicho la tatu Ina siasa ndani yake ili wakija kumfunga Mbowe waseme mbona sabaya alifungwa?Mkuu kwahiyo ulitaka Sabaya aachiwe ?
Tumemaliza la Sabaya twende kwa mbowe Sasa
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
NA UGALI MAHARAGE WA BURE KILA SAA TISA ALASIRI KWA KILA IITWAYO LEO.Gazeti la kesho
SABAYA WA CCM APANGISHIWA NYUMBA NA SERIKALI MIAKA 30 PAMOJA NA MATUMIZI
Alimwe hiyo miaka kwa kosa gani? Kutafuta walinzi wa kumlinda na wenye sifa alizo zitaka yeye! Au kwa kupitia ule uongo wa mchana wa akina Kingai?Na mbowe akilimwa miaka muunge mkono hivihivi, msipige kelele
Indeed mana yule shetani mkubwa kitendo cha kuyanyamazia matendo yake ni dhairi yalikuwa na baraka zake.Na wewe unaamini alikua anatumwa